Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Kwanza niseme tu mimi siungi mkono ushoga lakini pia namuomba sana Mungu aniepushe mimi na kizazi changu kwenye hali yoyote inayohusu LBGTQ
Watu wanaopromote ushoga ndio wetu ambao wanaongoza uchumi wa dunia, mamlaka ya dunia na maamuzi katika huu ulimwengu
Watu wote ambao wanapiga ushoga hadharani matokeo yao huwa ni vifo vya ajabu kwasababu
Wapo
Watu wenye vyeo na uchumi mkubwa ambao kazi yao kubwa ni kupromote ushoga.
Sasa kwa hali ya maisha ya dudu baya ukizingatia na hii nchi ilivyo dudu baya umeingia cha kike
Walikuacha uliposema kuhusu MRI na setscan za pale muhimu ili mana ulileta aibu kwa taifa
Sasa umeingia kwenye 18 pole sana
Yu beta wachi yua baki
Mwisho napinga sana ushoga
Naagiza dudu baya afungwe jela miaka mia tatu na nusu.
Huyu chokoraa amezidi sana kuropoka na mapombe yake, he must be dealt with perpendicularly.
I wish i could be IGP nimnyooshe mpaka aache ndala.
Hatuwezi kuongozwa na walevi kama dudu baya wanatawala mtandao kilevi sana huku wakijimwambafai kwamba ati wao ni konki! Shenzi type.
Konki gani na makonyagi begani!!
Hahaa kwamba wanaeza sema wamegundua iyo target kwa dudubayaDetected
Wasichana siku hizi mmepindaKama upigwi miti nyoosha mkono juu.!
Mbona hujanyoosha mikonoWasicha siku hizi mmepinda
Watu wa Western utakosana nao kwa mambo mengine lakini ukishakuwa radhi kwa mambo yao ya Inya basi unatamba unavyotaka hawatakusumbua wala demokrasia wala niniKwanza niseme tu mimi siungi mkono ushoga lakini pia namuomba sana Mungu aniepushe mimi na kizazi changu kwenye hali yoyote inayohusu LBGTQ
Watu wanaopromote ushoga ndio wetu ambao wanaongoza uchumi wa dunia, mamlaka ya dunia na maamuzi katika huu ulimwengu
Watu wote ambao wanapiga ushoga hadharani matokeo yao huwa ni vifo vya ajabu kwasababu
Wapo
Watu wenye vyeo na uchumi mkubwa ambao kazi yao kubwa ni kupromote ushoga.
Sasa kwa hali ya maisha ya dudu baya ukizingatia na hii nchi ilivyo dudu baya umeingia cha kike
Walikuacha uliposema kuhusu MRI na setscan za pale muhimu ili mana ulileta aibu kwa taifa
Sasa umeingia kwenye 18 pole sana
Yu beta wachi yua baki
Mwisho napinga sana ushoga
Nitanyooshaje mikono wakati mlishaikata siku nyingiMbona hujanyoosha mikono
Naagiza dudu baya afungwe jela miaka mia tatu na nusu.
Huyu chokoraa amezidi sana kuropoka na mapombe yake, he must be dealt with perpendicularly.
I wish i could be IGP nimnyooshe mpaka aache ndala.
Hatuwezi kuongozwa na walevi kama dudu baya wanatawala mtandao kilevi sana huku wakijimwambafai kwamba ati wao ni konki! Shenzi type.
Konki gani na makonyagi begani!!
Mwakyembe na yule dada mwanaharakati wake waliishia wapi? Maana walikuja na orodha ya mashoga nchi nzima kuanzia ngazi ya taifa, wilaya, tarafa, kata, mtaa na kijiji, wakasema wana majina yao na anwani zao wanaweza kuwataja tu. Tulitamani watutajie majina ya hao mashoga ila mpaka sasa wameingia mitini na ishu ya ushoga kaibuka dudu baya anaropoka tu kwa jazba kuwa kuna sekta wamejazana na anawajua.
Duh aiseeYani ushanifanya mie ndiye mtaalamu wa ushoga siyo?
Haya mambo kuyaelewa vizuri kwanza uyaongelee Kiingereza, maana Kiswahili mambo mengi hayajaelezewa kwa undani.
Yani hata hilo neno "ushoga" tafsiri yake ukiwauliza watu tofauti watakupa tafsiri tofauti.
Kiingereza basha ni shoga pia.
Kwa Kiswahili basha ni shoga?
Kwa hiyo lugha tu itakuangusha.
Mleta madaHahaa kwamba wanaeza sema wamegundua iyo target kwa dudubaya