Mara zote niko makini sana kusoma tabia na saikolojia ya wapinga ushoga kwa muda mrefu sana sasa.
Ni wazi na bila shaka kabisa, nimebainisha na kujiridhisha, na ninaweza kusema bila hofu yoyote kwamba, wapinga ushoga wengi wao ni mashoga, au kwa asilimia chache, ni watu wanaoogopa kuwa mashoga wenyewe.
Kwa Kiingereza inaitwa self-projection, self-hate, na self-fear.
Katika mazingira ya kawaida, ni ngumu sana kueleza, au kutoa majibu yenye kueleweka, ni kwa namna gani huyu anayejiita DUDU BAYA aliwezaje kujua au kufahamu kwamba watu fulani ni mashoga kama anavyodai.
Kwa vyovyote vile, nje ya habari za uvumi au umbeya na udaku, kuna uwezekano mkubwa sana alishiriki nao vitendo vya ushoga, au aliingia nao katika mahusiano ya karibu sana yanayoshawishi au kuashira vitendo vya kishoga.
Au, kwa kuwa yeye [Dudu Baya] ni shoga, na anajichukia sana kwa kuwa shoga, anadhihirisha kwa nje [manifest] chuki zake kwa kuwaita wengine mashoga ili apate unafuu wa kiakili na kisaikolojia na kujisikia kwamba yeye ni bora licha ya ushoga alionao.
Kwa ushoga alionao, njia bora na nyepesi zaidi ya kumfanya ajione na kujisikia kwamba na yeye ni bora, au ana unafuu kidogo, au yeye ni mwamba kama anavyotamani kuwa, ni kuwaita wengine mashoga. Anajaribu kuyaakisi madhaifu yake kwa wengine ili apate nafasi ya juu dhidi yao.
Tumeshuhudia mara kibao watu wa aina yake. Kama yule catherine Kahabi aliyekuwa anaambatana na Mwakyembe akijifanya kupinga usagaji, kumbe nyuma ya pazia na yeye ni msagaji. Kuna picha kadhaa zikimuonesha akiwa katika namna ya mahaba na mbunge wa kike.
Dudu Baya ni bwabwa, na anajitahidi sana kuficha hilo kwa kutoa tuhuma hizo hizo kwa wengine. Ni namna fulani ya kujisafisha.
Sisi tunaojua hizi mbinu zake, tunatoa rai kwake aache janja janja na ajikubali. Hakuna kibwagizo au ngonjera inayoweza kumnusuru na hilo.
Hakuna kauli mbiu yoyote anayoweza kuitumia ili kujinasua na ushoga. Zaidi sana, kuna hatari ya yeye kuanza kuokota makopo barabarani kama bado hajaanza kufanya hivyo.
Mwisho kabisa, mamlaka zote husika zimmulike vizuri na kwa ukaribu sana huyu DUDU BAYA na waangalie mienendo yake. Kuna uwezekano mkubwa wakagundua jambo lililojificha.
Licha ya ushoga, ulevi, na unywaji wake wa makonyagi, kuna uwezekano mkubwa akawa hata anafanya biashara zingine za madawa ya kulevya. Anatumia hivi vibwagizo vyake vya ushoga kama leverage tu.
Wabilaah tawfiq.