Alipozaliwa wazazi wake wakamwita Godfrey William Tumain.......
Baadae sasa akaanza kujipachika majina ya ajabu ajabu tu......mara:- Ngumi jiwe....akaibuka na jina lingine....Mapafu ya mbwa.....Kapafona.......No dafa.......Voti mia.......lakin jina lililoyabeba yote hayo ni DUDU BAYA.....hivi aliishia wapi huyo jamaa?
Muulize mama yake mzazi atakujibu
Kuna kipindi nilisikia ameoa mganga wa kienyeji huko Mwananyamala

dah.. ila watu wana roho ngumu aisee! hivi unaweza kuchepuka kweli waifu akiwa mganga wa kienyeji?
au inaweza kubakia kwa mchepuko ukarudi plane...!!Ukichepuka no errection mkuu
na wewe ni kaka yake mzazi?
mbona unajibu kama umedungwa sindano ya gongo mkuu?