Dudu baya yupo wapi siku hizi?

Dudu baya yupo wapi siku hizi?

Galadudu

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
2,304
Reaction score
773
Alipozaliwa wazazi wake wakamwita Godfrey William Tumain.......
Baadae sasa akaanza kujipachika majina ya ajabu ajabu tu......mara:- Ngumi jiwe....akaibuka na jina lingine....Mapafu ya mbwa.....Kapafona.......No dafa.......Voti mia.......lakin jina lililoyabeba yote hayo ni DUDU BAYA.....hivi aliishia wapi huyo jamaa?
 
Muulize mama yake mzazi atakujibu
 
Muulize, huyu hapa na buti lake analomtishiaga mr nice!

b5_dudu%201.jpg
 
Kama haujui ungenyamaza nn ambacho kingepungua kwako
 
kwanza atuambie alitoa wapi sare yetu ya Jeshi la Wakurya Toka Zamani??

1396970944.jpg

dudu++1.jpg
 
Kama miaka mi3 hivi imepita , nilimuona huyu jamaa mitaa ya lumumba, yupo yupo tu anazurura mtaani, kajigongea kata k*** ya kufa mtu na t-shirt inachapa ya sura yake kaprint maneno-"long-living veteran"
 
Alipozaliwa wazazi wake wakamwita Godfrey William Tumain.......
Baadae sasa akaanza kujipachika majina ya ajabu ajabu tu......mara:- Ngumi jiwe....akaibuka na jina lingine....Mapafu ya mbwa.....Kapafona.......No dafa.......Voti mia.......lakin jina lililoyabeba yote hayo ni DUDU BAYA.....hivi aliishia wapi huyo jamaa?

dudu zuri...!
 
Back
Top Bottom