DUDUBAYA a.k.a Mambaz 24 anapendwa kwa kuwa ni mkweli!!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Nimevutiwa sana na namna msanii huyu Dudubaya anavyoweza kuvuta watu wa rika zote bila kutumia nguvu.

Msanii huyu anao mvuto wa kipekee kwa miaka mingi.

Nimependezwa na aliyebuni utaratibu wa kuwakumbuka hawa legends wa mziki
 
Dudu alisema amewaambia waandaaji haendi Mwanza, sasa sijui wamembembeleza maana wanaona wakimuacha atawaponda au Dudu mwenyewe kawaomba. Ngoja tuone huko Mwanza ataharibu au vipi mana Dudu hatabiriki kabisa
 
Tusubiri drama zake hapo kesho
 
MAmba ni kama gigy tuu anafungukagaaa yan ukwel wao huwaharibia watu wa kona kona sana
 
Back
Top Bottom