Maisha yasiyo na uhalisia sio mazuri mwaka jana kuna gazeti la udaku lilifanya naye mahojiano tukaandikiwa kuwa jamaa mambo safi na anamiliki machimbo/vitalu vya madini na picha tukaoneshwa
Haya yote kasababisha Ruge. teh teh
usd 950 kwa madafu yetu unapata 1.8m na ushee,tangu tv na magazeti kutuonyesha nay wa mitego ana nyumba nne na murano siyaamini tena.
Duh! mjini pagumu kuishi kisanii kumewashinda kina msofe ushauri wa bure arudi kijijini ashike jembe sometimes life is not complicated ila tunajichanganya sisi wenyewe.
hivi dudu ndio kaisha namna hiyo juzi tu si alisema yeye ana hela za kutosha na kama kuna msanii kaishiwa aende akamuajili imekuaje mbona nouwma sana
Murano analo jeupe ila la mkopo na hajamaliza kulilipia kadi bado lipo kwa wenyewe
Na ile nyumba yake kweli ? Maana mmh
Maisha yasiyo na uhalisia sio mazuri mwaka jana kuna gazeti la udaku lilifanya naye mahojiano tukaandikiwa kuwa jamaa mambo safi na anamiliki machimbo/vitalu vya madini na picha tukaoneshwa
Murano analo jeupe ila la mkopo na hajamaliza kulilipia kadi bado lipo kwa wenyewe
Mbona umeipa bei ya juu hivyo?
Haya yote kasababisha Ruge. teh teh
Mbona umeipa bei ya juu hivyo?
Kwani ukiishiwa lazima uibe au ni mwizi toka zamanii,huyu mziki ushamshinda bora awe baunsa wa club au auze biskuit stendi
Si bora auze biskuit stendi wizi hauna maana