Dudubaya adakwa LIVE kwa kuiba simu ya Papaa Mopao wa Twanga Pepeta

Dudubaya adakwa LIVE kwa kuiba simu ya Papaa Mopao wa Twanga Pepeta

we mchizi bora usizi..usiibe wakuite mwizi,
kwani wabongo sikuhizi wanachoma moto waizi
 
Maisha yasiyo na uhalisia sio mazuri mwaka jana kuna gazeti la udaku lilifanya naye mahojiano tukaandikiwa kuwa jamaa mambo safi na anamiliki machimbo/vitalu vya madini na picha tukaoneshwa

usd 950 kwa madafu yetu unapata 1.8m na ushee,tangu tv na magazeti kutuonyesha nay wa mitego ana nyumba nne na murano siyaamini tena.
 
Tumbaku mbaya! mbaya zaidi unavuta huna kitu! ila ni somo kwa waimbaji wengine maana hili jina la wanamuziki wengi hawastahili. Aliimba mwanangu huna nizamu (nidhamu )sasa sijui abadilishe aimbe yeye hana nidhamu, hiyo nizamu ilivyokuwa inakandamizwa!
 
Maisha yasiyo na uhalisia sio mazuri mwaka jana kuna gazeti la udaku lilifanya naye mahojiano tukaandikiwa kuwa jamaa mambo safi na anamiliki machimbo/vitalu vya madini na picha tukaoneshwa

Labda walimaanisha vitali vya ujinga
 
Murano analo jeupe ila la mkopo na hajamaliza kulilipia kadi bado lipo kwa wenyewe

Jamaa alivyojitapa nalo ndio maana meneja wake wa zamani alishangaa utajiri wa ghafla wa neema wa mitego kumbe ni usanii tu,wasanii wengi waongo hata Ja Rule alidanganya umma ile nyumba aliyeionyesha kwenye MTV Cribs iliyoko miami baharini kwamba ni yake kumbe alioomba afanye birthday tu na ndio akatumia mwanya huo kufanya show na MTV.
 
Back
Top Bottom