Salamander JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 28,536 Reaction score 15,746 Jul 22, 2013 #21 Mi nimecheka niliposoma pale polisi anamwambia Dudu baya,hajuani na watu mafala mafala.
S salasala JF-Expert Member Joined Oct 17, 2010 Posts 223 Reaction score 54 Jul 22, 2013 #22 Alimpiga na kichwa au alimkumja tu?
kandidus Member Joined Feb 6, 2012 Posts 70 Reaction score 17 Jul 22, 2013 #23 Mbaya sana hiyo . Hao wamepewa dhamana na serikali. Ilimpasa afuate taratibu (utii wa Sheria bila shuruti)
Mbaya sana hiyo . Hao wamepewa dhamana na serikali. Ilimpasa afuate taratibu (utii wa Sheria bila shuruti)
Salamander JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 28,536 Reaction score 15,746 Jul 22, 2013 #24 kandidus said: Mbaya sana hiyo . Hao wamepewa dhamana na serikali. Ilimpasa afuate taratibu (utii wa Sheria bila shuruti) Click to expand... Serikali imempa dhana ya kulewa pombe na kugombana na watu kwenye sehemu za starehe?
kandidus said: Mbaya sana hiyo . Hao wamepewa dhamana na serikali. Ilimpasa afuate taratibu (utii wa Sheria bila shuruti) Click to expand... Serikali imempa dhana ya kulewa pombe na kugombana na watu kwenye sehemu za starehe?
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Jul 22, 2013 #25 Polisi aliogeshwa na Konyagi mwili mzima, chezeya The Dudu amuuulize Mr Nice.
Salamander JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 28,536 Reaction score 15,746 Jul 23, 2013 #26 Matola said: Polisi aliogeshwa na Konyagi mwili mzima, chezeya The Dudu amuuulize Mr Nice. Click to expand... Kumbe walikuwa wanakunywa mikonyagi!Iko siku watauana,ile midude si ya kuichezea.
Matola said: Polisi aliogeshwa na Konyagi mwili mzima, chezeya The Dudu amuuulize Mr Nice. Click to expand... Kumbe walikuwa wanakunywa mikonyagi!Iko siku watauana,ile midude si ya kuichezea.
Hiram Abiff JF-Expert Member Joined Apr 14, 2013 Posts 896 Reaction score 676 Jul 24, 2013 #27 hii sio promo ya wimbo wake mpya?