Dudubaya ampa kichapo mkubwa mmoja wa polisi jijini Mwanza

Dudubaya ampa kichapo mkubwa mmoja wa polisi jijini Mwanza

Mi nimecheka niliposoma pale polisi anamwambia Dudu baya,hajuani na watu mafala mafala.
 
Mbaya sana hiyo . Hao wamepewa dhamana na serikali. Ilimpasa afuate taratibu (utii wa Sheria bila shuruti)
 
Mbaya sana hiyo . Hao wamepewa dhamana na serikali. Ilimpasa afuate taratibu (utii wa Sheria bila shuruti)

Serikali imempa dhana ya kulewa pombe na kugombana na watu kwenye sehemu za starehe?
 
Polisi aliogeshwa na Konyagi mwili mzima, chezeya The Dudu amuuulize Mr Nice.
 
Back
Top Bottom