Dudubaya aomba radhi rasmi kutokana na maneno ya kejeli aliyompa Marehemu Ruge

April fools, konk haombi msamaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amemalizia na konki konki mamba oil chafu

Yani hana remorse, hana majuto, hata ya kujifanyisha.

Wabongo hatuna upembuzi, hatuna analytical minds za kuliona hilo, tumeridhika.
 
Amemalizia na konki konki mamba oil chafu

Yani hana remorse, hana majuto, hata ya kujifanyisha.

Wabongo hatuna upembuzi, hatuna analytical minds za kuliona hilo, tumeridhika.
Huyu ni mgonjwa wa sifa hana tofauti na mzee wa kikuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…