Atukuzwaye
Senior Member
- Oct 5, 2026
- 191
- 250
Mkongwe na nguli katika tasnia ya muziki Dudubaya, atoa pikipiki 30 kwa vijana kama ajira kwao, ambapo watakua wakirudisha marejesho kupitia mpato yatakayopatikana kwenye pikipiki hizo.
Lakini pia, ajira hizo ametoa kwa vijana kwa lengo la kuhakikisha usalama wa vijana huko mitaani, kuwaepusha kujiingiza katika moja ya vitendo visivyofaa ikiwemo "ushoga" ambao umekithiri sana wakati huu kwa vijana.
Mimi naona dudubaya hapa amefanya jambo la busara sana kuwapatia vijana hao pikipiki kwasababu kwanza ni ajira kwao, lakini pia inapunguza hiyo speed ya ongezeko la vijana kuwa mashoga mtaani, ambao sababu za wengi kuwa hivyo ni kutafuta tu kipato. Kwahiyo tukiweka mengine kando, mimi naona mamba kaupiga mwingi aisee