Atukuzwaye
Senior Member
- Oct 5, 2026
- 191
- 250
Hivi hii YBWYB Ina maana gani?Ni jambo jema,
Y B W Y B
You Better Watch Your Back.Hivi hii YBWYB Ina maana gani?
🤣🤣🤣🤣You Better Watch Your Back.
Wewe hela za Pikipiki umekosa wapi?Mh, huyu Hela za pikipiki hizo katoa wapi?!!!!!
Choka mbaya mwenzangu huyo, Hana ujanja huoWewe hela za Pikipiki umekosa wapi?
Mkuu kwa akili hii,hao wote ambao wewe unawaona ni wenzako,watakuacha hapo hapo ulipo kama usipo jishtukia mapema.Choka mbaya mwenzangu huyo, Hana ujanja huo
Hili jibu kumpenda shule, yaani kwa vile yeye bongolala kakosa hela anahoji wengine wanapata wapi!Wewe hela za Pikipiki umekosa wapi?
Sasa kama choka mbaya mwenzio kapata na wewe toa hizo pkpk.Choka mbaya mwenzangu huyo, Hana ujanja huo
You Better Watch Your Back.Hivi hii YBWYB Ina maana gani?
Wewe kiboko una majibu mazuri yaliyonyookaWewe hela za Pikipiki umekosa wapi?
Kaupiga mwingi, wenye marinda tu ndio tunaelewa.Mkongwe na nguli katika tasnia ya muziki Dudubaya, atoa pikipiki 30 kwa vijana kama ajira kwao, ambapo watakua wakirudisha marejesho kupitia mpato yatakayopatikana kwenye pikipiki hizo.
Lakini pia, ajira hizo ametoa kwa vijana kwa lengo la kuhakikisha usalama wa vijana huko mitaani, kuwaepusha kujiingiza katika moja ya vitendo visivyofaa ikiwemo "ushoga" ambao umekithiri sana wakati kwa vijana.
Mimi naona dudubaya hapa amefanya jambo la busara sana kuwapatia vijana hao pikipiki kwasababu kwanza ni ajira kwao, lakini pia inapunguza hiyo speed ya ongezeko la vijana kuwa mashoga mtaani, ambao sababu za wengi kuwa hivyo ni kutfuta tu kipato. Kwahiyo tukiweka mengine kando, mimi naona mamba kaupiga mwingi aisee