Dudubaya kachoka ile mbaya wasanii wetu inasikitisha

exalioth

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2016
Posts
2,263
Reaction score
3,897
Jana nimejionea laivu alikuwa chimbo fulani alikuwa ameandaliwa kushusha mbonge la shoo katika bar fulani mkoani geita

Mimi ni moja ya watu waliokuemo kwenye bar hiyo tukipata 1.2

Dudubaya pamoja na kuandaliwa lakini mapema tu alikua kalewa chakali yaani mpaka huruma hadi kufikia kushindwa kutumbuiza

Kingine niliona Dudubaya amesha jikatia tamaa lakini bado mapema anakubalika
 
Hii haiwezi kuwa imeandaliwa kwa kushirikiana na wasafi maana hata poster yenyewe imetengenezwa kwenye word hata kutoa poster ya rangi wameshindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…