exalioth
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 2,263
- 3,897
Jana nimejionea laivu alikuwa chimbo fulani alikuwa ameandaliwa kushusha mbonge la shoo katika bar fulani mkoani geita
Mimi ni moja ya watu waliokuemo kwenye bar hiyo tukipata 1.2
Dudubaya pamoja na kuandaliwa lakini mapema tu alikua kalewa chakali yaani mpaka huruma hadi kufikia kushindwa kutumbuiza
Kingine niliona Dudubaya amesha jikatia tamaa lakini bado mapema anakubalika