Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Tuombe radhi watu wa Singida tafadhali.Kwakweli huyu Bi mkubwa yupo vizuri sana kichwani na utendaji kazi. Nachelea kusema ndiyo mtu wa kwanza kutoka Singida mwenye akili timamu
Nitafanya hivyo ukiweza kunitajia mtu mwingine kutoka Mkoa huo mwenye akili timamuTuombe radhi watu wa Singida tafadhali.
Unamfahamu Tundu Lissu? Anna Mghwira MHSRIP? unamfahamu Mo Dewji? Aisha Masaka? Juma Jux? Kuna Mayu piaKwakweli huyu Bi mkubwa yupo vizuri sana kichwani na utendaji kazi. Nachelea kusema ndiyo mtu wa kwanza kutoka Singida mwenye akili timamu
Mwigulu mchemba je?Nitafanya hivyo ukiweza kunitajia mtu mwingine kutoka Mkoa huo mwenye akili timamu
Yule bwana mdogo kiukweli kabisa .......Nitakueleza wakati mwingine maana nina wajukuu wamenizoea babu yao kuwapigia hadithi kila jioni.Mwigulu mchemba je?
Huoni msingidani kapewa kitengo nyeti cha taifa?
Mimi hapaNitafanya hivyo ukiweza kunitajia mtu mwingine kutoka Mkoa huo mwenye akili timamu
Sasa wewe si ndiyo ulishirikiana na yule dada yako wa 'Centro' kufanya msiba wa ManunuMimi hapa
Sasa naona unataka kununua ugomvi iwe kesi personal kati yetu. Kila mkoa/kabila kuna watu wenye akili qanaojitambua na hali kadhalika, wapo wasindikizaji, wengi tu.Sasa wewe si ndiyo ulishirikiana na yule dada yako wa 'Centro' kufanya msiba wa Manunu
Kwenye Research kuna kitu wanaita 'Generalizability' sasa kama katika watu 20 halafu 17 ndiyo hivyo tena unadhani matokeo ya utafiti yatakuja na hitimisho lipi? Hicho ndicho kinausibu Mkoa wa wala Punda.Sasa naona unataka kununua ugomvi iwe kesi personal kati yetu. Kila mkoa/kabila kuna watu wenye akili qanaojitambua na hali kadhalika, wapo wasindikizaji, wengi tu.
Uliposema Singida huyo pekee ndio ana akili na kujitambua, nikakupinga na kukuomba ututake radhi watu wa Singida.
Sasa ukinihusisha na Manunu naona kabisa unataka kuwaambia waheshimiwa majaji una chuki binafsi na watu wa Singida.
Hawajui vizuri watu wa Singida huyoUnamfahamu Tundu Lissu? Anna Mghwira MHSRIP? unamfahamu Mo Dewji? Aisha Masaka? Juma Jux? Kuna Mayu pia
Huyu Juma Jux akili zake timamu zinatokana na kwamba amekataa kuoa mwanamke atakaye mlisha na kumtunza pamoja na wazazi wa huyo mwanamke hadi kufa bali kachagua kuoa mwanamke tajiri kama alivyo yeye
Kiwango cha elimu cha Dudu baya ni kipi?Natamani Waziri Dorothy Gwajima aje kuwa Rais baadae.
Dudubaya amesema hayo wakati wa mahojiano na ST Bongo, ambapo amemsifia Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, kwa uchapakazi wake na ufuatiliaji wa masuala ya kijamii.
Aidha, Dudubaya amefika mbali zaidi kwa kueleza matamanio yake ya kumuona Waziri Gwajima akija kuwa Rais wa Tanzania siku za baadaye
Pia soma:
~ Waziri Gwajima aingilia hoja ya Mdau aliyedai mtuhumiwa aliyemfanyia ukatili mtoto anatamba mtaani