Dudubaya: Natamani Waziri Dkt. Dorothy Gwajima aje kuwa Rais baadae

Nimetoka kumwambia mjukuu wangu wa kike wa form 1 kuwa maisha yangu yaliyobaki sitarajii kuona tena numero uno wa TZ akiwa "ke", kaniambia yeye atakuja kuwa, nikamuhakikishia kuwa Watanzania wa kesho hawatakuwa wajinga tena kama wa leo, hilo halitowezekana.
 
Hivi Tanzania hii kuna mtu anatamani tena kuja kuongozwa na maku? Hapana imetosha bwana!
 
Bi ushungi kawaharibia Wanawake wengine ambao walikuwa wana ndoto ya kushika nafasi hiyo!
Hakuna chama kinaweza simamisha mwanamke kama kina Nia ya kushika madaraka!Labda baada ya hiki kizazi kufutika!
 
Mimi sijamaanisha hivyo mkuu🦅
 
Tukitoa mambo ya chama huyu mama ni muwajibikaji sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…