Dudubaya: Nikimuacha mwanamke lazima achizike

Dudubaya: Nikimuacha mwanamke lazima achizike

kirerenya

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
1,696
Reaction score
2,253
Dudubaya.jpg

Rapa Dudubaya amefunguka na kusema haijawahi kutokea akamuacha mwanamke bila mwanamke huyo kupatwa na uchizi au asilie machozi.

Dudubaya amesema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha Planet bongo kinachorushwa na kituo cha Televisheni cha EATV na kudai hakuna mwanaume ambaye anaweza kutembea na mwanamke wake na kusisitiza kuwa yeye anajitambua

"Mimi sijaoa bali nimekuwa tu nikizaa na wanawake lakini hakuna mwanaume ambaye anaweza kutoka na mpenzi wangu sababu najitambua, lakini nikwambie tu kitu sijawahi kumuacha mwanamke asiwe kichaa au asilie, ndiyo maana wanakwenda mpaka kwenye vyombo vya habari wanaongea ongea huko, kwa hiyo mimi najiamini". Amesema Dudubaya

Dudubaya kwa sasa anafanya vyema na wimbo wake mpya 'Inama' ambao ameshirikiana msanii TID
 
Aman ya bwana iwe nanyi wadau

Kama kichwa cha habali kinavyojieleza


Twende mitambon

Rapa kutoka pande za mwanza mwanza dudu baya, amedai yeye akimwacha mwanamke lazima huyo demu achizike na yeye akimkaza demu hawez kuliwa na jamaa mwingine kwa sababu yeye ni mwanume wa kweli na anajiamin

Kasema wanawake wote ambao huwakaza na kuwaacha huwa mara nyingi wanachizika na kuanza kukimbila kwenye vyombo vya habali kadai yeye ni mwanaume halis kutoka kanda ya ziwa usukuman kwahiyo huwa hana lelemama anapopewa papuchi

Dudu baya ni rapa anayetamba na ngoma yake mpya aliyomushikisha tid inayoitwa inama

Dudubaya.jpeg
 
Huyu ngosha huwa hapatan na ruge kwa sababu ruge ni msenke anayependwa kulambwa miguu na wasanii
 
Hv na hiyo ni kiki? Kuna mtu Asiyewajua Wasukuma? Atafute Demu Maarufu Km Yeye Tuone Atafkanae Wap Co Anajcfia Vnuka Mkojo Vya Uswahilini Kwao. Wanawake Wanaangalia Mengi Kwa Mwanaume Wakiona Hopeless Wanasepa.
 
Back
Top Bottom