Dudubaya: Nikimuacha mwanamke lazima achizike

Cheka kidogo nione wako mwanya......enzi hizo sijui zitarudi?
 
Dudu baya buana haaaa kwahiyo katika hao mademu hakuwahi kupata hata mwenye fedha akamlea mpaka kufikia kuiba simu? Kwahiyo alikuwa anapata mademu waliochoka ndio maana walikuwa wanalia.
 
Muongo mkubwa wewe Dudubaya.
Mbona mie sijachizika?
Nime-date sana na wewe, the first time unakutana nami pale Violla night club Tegeta Kibaoni next to Jay Pub enzi hizo.
Enzi hizo unatembea na bodyguards zako kukulinda!
Nimedumu kwenye mahusiano na wewe si chini ya mwaka na nusu huku mkishare penzi na Adam Kuambiana (r.i.p), kila siku kukimbizana kule Matembele bwawa nyuma ya Violla.

Niliachana nawe kwa kuwa ulikuwa na ugomvi usio na kichwa wala miguu.
Na mpaka leo, sikukumbuki kwa lolote, liwe baya au zuri.
Kama unanisoma umiza kichwa utanikumbuka....mdada flani curvy mwenye makalio, ulikuwa unaniita Teacher wa Kuambiana.
Kaa kimya....usijishaue.
 
Mmhhhh!
 
Mnafukua makaburi
 
Alisema yeye dudu zuri japo Mimi nilipenda nimwite tumaini
 
Back
Top Bottom