Dudubaya: Watu mfano wa Chidi Benzi hawatakiwi kusaidiwa

Dudubaya: Watu mfano wa Chidi Benzi hawatakiwi kusaidiwa

Maneno ya Dudu yamemkumbusha Mwana Fa maumivu ya mchizi wake Ngwair
 
Dudu baya ni punguani na Juha asiyejua kwa undani maana ya mtu kuwa Addicted
 
Uyu sijui anatafta pa kufufukia anaongea ujinga sana skuiz inamaana yeye hajawai kufanya kosa
 
Akiongea leo ndani ya ladha 3600 ya efm Dudu Baya amesisitiza Chidi atakiwi kusaidiwa anatakiwa aachwe ajifie ili iwe funzo kwa wasanii wengine.


Amesisitiza Chidi anatakiwa aachwe asubiri kifo kimchukue.

Mwana FA alikuwa studio akatoa comment yake kwamba Dudu ni kichaa na mjinga ndio maana anazungumza upuuzi kama huo. Watu wanafanya makosa ila atuwezi fikia kutamka maneno kama hayo kiubinadam.
Mimi naungana na Mwana FA dudu alichokiongea sio ubinadamu.
 
mwanaFA mwenyewe anaimba nyimbo za kuwasifia kina shikuba ni jipu.
 
Back
Top Bottom