Dudubaya wewe ni mshindi daima

Dudubaya wewe ni mshindi daima

Alikua Anashindana nini na Clouds Mpaka Kashinda,.?

Clouds walikua Wanamjibu Au Wanaonyesha upinzani kwa icho Walichokua Wanashindani?

Uko BASATA anashindania nini?

Kwa Ushindi alioshinda dhidi ya Clouds kaingiza Sh ngapi?

Ikawaje akashindwa vita ya Kumpa Mwanae Elimu Mpaka kawa Muuza Mihogo Coco beach?
Kuuza mihogo ni kukosa elimu kumbe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaaa et sijui nan ataonekana mwehu
Konki anajua Siri za watu kibao , istoshe watu washamzoea Ila kama Una heshima yako mjin jamaa akikuchafulia anakuchafua kwel kwel , Bora umkaushie Tu , anaweza akarelease picha yako unakula jicho la mtu sa sjui nan ataonekana mwehu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dudubaya ndo silaha ya mwisho ya diamond hivyo katumwa amalize show mapema kabisa
Mimi navyofahamu kuna wanasiasa nao wamegawanyika pande mbili Makamba ni mtu wa Clouds na inasemekana alikuwa anawahujumu kwa serikali Wasafi, na Kuna Kigwangwala huyu yeye ni mshikaji wa Wasafi. Hata mawaziri wa Sanaa nao mkubwa team wasafi mdogo team clouds.

Sasa dizain kama kuna kuwekeana fitna, na ile simu aliyopiga JPM juzi kuna watu walikuwa wanamalizwa pale.

Lakini Dudu baya sijajua why kaamua kumpiga January this time.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alimchokoza yule dogo Baraka the prince,dogo akamwambia we bro umeshapotea kitambo tu unatafuta kiki kwangu,umekalia kunywa ma konyagi mpk sauti imeisha sijui hata unaimbaga nini afu wkt ukiwa Top bora ungemsomesha mwanao Wile aje akusaidie uzeeni kana hivi,ona sasa na uzee huo unahangaika na majukwaa.

dodge
Sasa huyo dogo baracka na dudu baya wanatofaut gan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dudubaya ni msema kweli daima kawambia WEUS kuwa kwa sasa msanii mkubwa pale clouds ni harmonize

Hivyo wao pamoja na Alikiba wametemwa kimtindo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasafi media ni ya Kusaga na Diamond Platnumz. Halafu kuna Wasafi Company Ltd ya Diamond Platnumz akiwa na Babutale, Sallam Sk na Said Fella ukiweka chuki pembeni ukitaka nikueleweshe nitakuelewesha namna huu mkanganyiko unamuumiza kichwa hata Kusaga rafiki yake Diamond.
pia wasafi media ni mtoto wa WCB
 
Mkuu naomba kufahamu,ushirika wa kusaga na diamond upo kwenye fm radio tu na tv?

Je wasafi company Ltd wana nini wanamiliki kama wapo wapo tofauti na kusaga!
Wasafi media ni ya Kusaga na Diamond Platnumz. Halafu kuna Wasafi Company Ltd ya Diamond Platnumz akiwa na Babutale, Sallam Sk na Said Fella ukiweka chuki pembeni ukitaka nikueleweshe nitakuelewesha namna huu mkanganyiko unamuumiza kichwa hata Kusaga rafiki yake Diamond.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom