rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,749
- 7,038
Kuuza mihogo ni kukosa elimu kumbe!Alikua Anashindana nini na Clouds Mpaka Kashinda,.?
Clouds walikua Wanamjibu Au Wanaonyesha upinzani kwa icho Walichokua Wanashindani?
Uko BASATA anashindania nini?
Kwa Ushindi alioshinda dhidi ya Clouds kaingiza Sh ngapi?
Ikawaje akashindwa vita ya Kumpa Mwanae Elimu Mpaka kawa Muuza Mihogo Coco beach?
Konki anajua Siri za watu kibao , istoshe watu washamzoea Ila kama Una heshima yako mjin jamaa akikuchafulia anakuchafua kwel kwel , Bora umkaushie Tu , anaweza akarelease picha yako unakula jicho la mtu sa sjui nan ataonekana mwehu....
Mhh hizi habari sijazipata,Dudubaya kamfanya nini Makamba?
Mimi navyofahamu kuna wanasiasa nao wamegawanyika pande mbili Makamba ni mtu wa Clouds na inasemekana alikuwa anawahujumu kwa serikali Wasafi, na Kuna Kigwangwala huyu yeye ni mshikaji wa Wasafi. Hata mawaziri wa Sanaa nao mkubwa team wasafi mdogo team clouds.
Sasa dizain kama kuna kuwekeana fitna, na ile simu aliyopiga JPM juzi kuna watu walikuwa wanamalizwa pale.
Lakini Dudu baya sijajua why kaamua kumpiga January this time.
Sasa huyo dogo baracka na dudu baya wanatofaut ganAlimchokoza yule dogo Baraka the prince,dogo akamwambia we bro umeshapotea kitambo tu unatafuta kiki kwangu,umekalia kunywa ma konyagi mpk sauti imeisha sijui hata unaimbaga nini afu wkt ukiwa Top bora ungemsomesha mwanao Wile aje akusaidie uzeeni kana hivi,ona sasa na uzee huo unahangaika na majukwaa.
dodge
Hao ni wapumbafu sema mmoja ni mshindiWote wanafanana kasoro mmoja bado kijana,mwingine ni mzee.
dodge
Dudubaya ndo silaha ya mwisho ya diamond hivyo katumwa amalize show mapema kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
No haiko hivyo makamba ndo aliwambia wasafi wasitembee tena na dudubayaMbona kuna post kawageuka wasafi kwamba wasipige nyimbo zake tena
Sent using Jamii Forums mobile app
hv Clouds ni ya kusaga peke yake hakuna share za watu pale...?Wasafi na Clouds zote ni za kusaga,sasa mambo ya kuhujumiana yanatoka wapi?
dodge
ila Makamba aliwapa Wasafi ushauri wa maana mno, kuukubali au kuukata ni juu yao.No haiko hivyo makamba ndo aliwambia wasafi wasitembee tena na dudubaya
Ndo dudubaya akasema basi kama vipi hao wasafi wasipige ngoma zake aone kama atapotea
Sent using Jamii Forums mobile app
pia wasafi media ni mtoto wa WCBWasafi media ni ya Kusaga na Diamond Platnumz. Halafu kuna Wasafi Company Ltd ya Diamond Platnumz akiwa na Babutale, Sallam Sk na Said Fella ukiweka chuki pembeni ukitaka nikueleweshe nitakuelewesha namna huu mkanganyiko unamuumiza kichwa hata Kusaga rafiki yake Diamond.
mtu anajua shere za Kusaga na Mondi kuliko kipato chake cha siku na matumizi yakeMama Kusaga 53%
Domo 45%
Ali khatibu 2%
Wivu uko wapi hapo?
Ndio madhara ya kukimbia shule.
dodge
Wasafi media ni ya Kusaga na Diamond Platnumz. Halafu kuna Wasafi Company Ltd ya Diamond Platnumz akiwa na Babutale, Sallam Sk na Said Fella ukiweka chuki pembeni ukitaka nikueleweshe nitakuelewesha namna huu mkanganyiko unamuumiza kichwa hata Kusaga rafiki yake Diamond.
hahahaaah we jamaa Mungu anakuona ujue, nimecheka kifala sana dah... jibu konkmtu anajua shere za Kusaga na Mondi kuliko kipato chake cha siku na matumizi yake
mtu anajua shere za Kusaga na Mondi kuliko kipato chake cha siku na matumizi yake