hv Clouds ni ya kusaga peke yake hakuna share za watu pale...?
tayari keshafanywa vibaya huko mkuuu uliota nini?Siku akifanywa vibaya msije kusema kaonewa.
Wasafi media ni ya Kusaga na Diamond Platnumz. Halafu kuna Wasafi Company Ltd ya Diamond Platnumz akiwa na Babutale, Sallam Sk na Said Fella ukiweka chuki pembeni ukitaka nikueleweshe nitakuelewesha namna huu mkanganyiko unamuumiza kichwa hata Kusaga rafiki yake Diamond.
Wasafi na Clouds zote ni za kusaga,sasa mambo ya kuhujumiana yanatoka wapi?
dodge
tayari keshafanywa vibaya huko mkuuu uliota nini?
Haya mwangalie na mwingine hapo akijua wamiliki wote wa Kampuni za domo hapa mjini.mtu anajua shere za Kusaga na Mondi kuliko kipato chake cha siku na matumizi yake
Wasafi Company Ltd chini ya Diamond Platnumz na familia yake, mama, dada na watoto; (maana hakuna kampuni la mtu mmoja)
Inamiliki
1. WCB Label;
Other partiners babu tale, mkubwa fela, sallam
2. Zoom Production;
Other partiners harmonize
3. Recording studio (Wasafi Record);
4. Wasafi media;
Other partiners Juhayna Kusaga and Ali Khatib
5. Konde music (WCB Label Branch) under harmonize
etc...
Mpaka hapo sijajua kwanini kusaga anaonekana kama mmiliki wa wasafi company wakati mke wake, na si kusaga, yupo upande wa media tu
Kuna watu wamechaguwa kutokuelewa,ila umechambua vizuri sana.
Dunia ya sasa hivi ambayo risks ni nyingi huwezi kumiliki kampuni peke peke yako.Kweli aisee,kusaga yuko njema sana huku anamiliki Wasafi Media huku Clouds Media Group apewe nini tena
dodge