Duet, vitz au starlet

BLB

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
382
Reaction score
43
Natafuta duet, vitz au starlet, bei isizidi 4.5m.
Namba yangu
0717960200
 
Aisee hiyo makitu kuna mtu alinambia spare zake ni aghali kama za benzi, ni kweli mkuu? Na availability?

Inategemea na model the more latest the more expensive.....ila kwa wese utasahau gharama za spares....halafu ziko DIAHTSU na TOYOTA
 
Mie nauza Subaru Forester ya mwaka 2004
sababu ya kuuza na hama nchi maisha yamekuwa magumu nahama nchi
kama unataka ni PM, ni gari nzuri saana ulaji wa mafuta ni mzuri saana
 
Mkuu sio fresh kuwaingiza mkenge watu,subaru forester ni gari bomu kuliko gari zote ni bomu zaidi ya CRV honda,siwashauri kununua hayo magari yani mda wowote unalipaki na linageuka banda la kuku,labda mshamba wa gari ndio atanunua......ngumu kumesa
 
Mkuu tatizo lake nini? Mimi inayo mwaka sasa, gari ni matunzo na service tu!
 
Mie nauza Subaru Forester ya mwaka 2004
sababu ya kuuza na hama nchi maisha yamekuwa magumu nahama nchi
kama unataka ni PM, ni gari nzuri saana ulaji wa mafuta ni mzuri saana

spare za subaru ni ghali sana na kwa tz duka liko moja kariakoo, kwa mfano timing belt ya gari za toyota ni 50,000 kushuka chini while za subaru ni 320,000.00
 
Mie nauza Subaru Forester ya mwaka 2004
sababu ya kuuza na hama nchi maisha yamekuwa magumu nahama nchi
kama unataka ni PM, ni gari nzuri saana ulaji wa mafuta ni mzuri saana

Ngapi unauza mkuu?
 
Mie nauza Subaru Forester ya mwaka 2004
sababu ya kuuza na hama nchi maisha yamekuwa magumu nahama nchi
kama unataka ni PM, ni gari nzuri saana ulaji wa mafuta ni mzuri saana

More information please na picha kama zipo!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Hongera boss!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…