Renegade
JF-Expert Member
- Mar 18, 2009
- 7,221
- 6,940
Mkuu umeshawahi kumiliki HONDA CRV? Ni gari nzuri sana.Mkuu sio fresh kuwaingiza mkenge watu,subaru forester ni gari bomu kuliko gari zote ni bomu zaidi ya CRV honda,siwashauri kununua hayo magari yani mda wowote unalipaki na linageuka banda la kuku,labda mshamba wa gari ndio atanunua......ngumu kumesa