Duet, vitz au starlet

Duet, vitz au starlet

Mkuu sio fresh kuwaingiza mkenge watu,subaru forester ni gari bomu kuliko gari zote ni bomu zaidi ya CRV honda,siwashauri kununua hayo magari yani mda wowote unalipaki na linageuka banda la kuku,labda mshamba wa gari ndio atanunua......ngumu kumesa
Mkuu umeshawahi kumiliki HONDA CRV? Ni gari nzuri sana.
 
Hivi vigari Mazda Demio vikoje..ulaji wa mafuta upatikanaji wa spare parts na ugumu wake
 
Back
Top Bottom