Duh! Asasi 30 za kijamii za kimataifa zimejitokeza kupambana dhidi ya bomba la mafuta la Uganda

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Asasi hizo za kutokea Marekani, Uingereza na kwengine zimeungana na kushirikiana kwa pamoja kuandikia benki iliyojitokeza kutafuta mkopo wa kugharamkia bomba, zimeiomba benki isitishe michakato ya kutafuta hizo hela zikidai kuwa bomba lenyewe litaharibu mazingira na makazi ya watu.
Benki imejibu kwa kusema inatafakari ombi lao na itatoa majibu hivi karibuni.

Hapa kuna kitu sijakielewa, siku zote tuliambiwa kampuni ya mafuta ya Total ndio itapokeza hela za ujenzi wote, sasa inatokeaje benki ihusike kwenye kusaka mkopo, au tena ndio yale yale ya mabeberu....
------------------------

A group of 30 international and local campaign groups have petitioned two banks to abandon plans to raise funds to build an oil pipeline to export Ugandan oil, saying the project would damage local livelihoods, water resources and wildlife.
The 1,445 km (900 mile) pipeline, which will run from fields in the west of Uganda to Tanzania’s Indian Ocean port of Tanga, is vital to developing the East African nation’s oil reserves.
South Africa’s Standard Bank Group and Japan’s Sumito Mitsui Banking Corporation are helping to raise the debt needed to finance the $3.5 billion pipeline.
“We consider this project to present unacceptable risks to local people through physical displacement and threats to incomes and livelihoods,” Global Witness and 29 other groups from Britain, the United States and elsewhere told the banks.
Unacceptable risks
In a letter urging the banks not to arrange financing, the groups said the project posed “unacceptable risks to water, biodiversity and natural habitats, as well as representing a new source of carbon emissions the planet can ill afford.”
Standard Bank said in an email it had received the letter and was reviewing it. Sumito Mitsui Banking Corporation declined to comment when asked by Reuters.
Uganda found oil reserves estimated to hold 6 billion barrels in western fields in 2006.
But progress on development has been slow, partly due to disagreements between the government and oil firms about strategy. Uganda also took several years to decide on a pipeline route.
France’s Total, China’s CNOOC and Britan’s Tullow Oil control the Ugandan fields.
The pipeline, which will cross rivers and swampland that act as a catchment for Lake Victoria and areas rich in wildlife, is expected to transport about 200,000 barrels per day (bpd) when oil production peaks.

Total ni developer.
RSA and Japan banks form a syndication loan to dish out to TOTAL so as to implement the project.
 
Teh Teh..hili bomba ndio linanifanyaga nikubali ile kauli ya Mtu mzima dawa. Gwiji mkongwe mmoja anawagonganisha vichwa tu vijana wake wanapigana vikumbo anawaangalia tu.

Ndio bargain chip yake hiyo. Ku equalize kila upande kwa maslahi yake.
 
Hapa nashuku kwamba mafuta ya Uganda ndio yananyemelewa nyemelewa kiaina. Siasa, vita na mafuta huwa vinaandamana sako kwa bako. Linapopita hili bomba wala sio ishu ni kisingizio tu.
 
Nashuku Kuna interests fulani wanataka Hawa mabeberu kwani ikumbukwe Pipeline sio barabara eti itakuwa na msongamano wa magari au watu ili iwe Wanyama hawataweza kuvuka pande moja Hadi nyingine. Afrika mbona tunakubali kubebwa kijinga na watu Hawa.
 
Hapa nakubaliana na wewe...Na iweje hiyo miaka yote tangu huu mradi utangazwe hivi sasa ndio wanataka kuukana.....
 
hata kwenye mradi wa umeme wa stiegler's gorge, wazungu kwa kupitia vitaasisi vyao uchwara vya kusimamia mazingira walikuja na visingizio lukuki vya kutaka kuzuia mradi huo kwa sababu eti utaharibu mazingira. tumewapuuza na mradi upo kwenye hatua za awali.

nina hakika kwenye bomba mafuta, serikali za tanzania na uganda zitawapuuza vilevile na mradi utaenda kama ulivyopangwa.
 
Asasi hizo za kutokea Marekani, Uingereza na kwengine zimeungana na kushirikiana kwa pamoja kuandikia benki iliyojitokeza kutafuta mkopo wa kugharamkia bomba, zimeiomba benki isitishe michakato ya kutafuta hizo hela zikidai kuwa bomba lenyewe litaharibu mazingira na makazi ya watu.
Benki imejibu kwa kusema inatafakari ombi lao na itatoa majibu hivi karibuni.
Hapa kuna kitu sijakielewa, siku zote tuliambiwa kampuni ya mafuta ya Total ndio itapokeza hela za ujenzi wote, sasa inatokeaje benki ihusike kwenye kusaka mkopo, au tena ndio yale yale ya mabeberu....
------------------------
A group of 30 international and local campaign groups have petitioned two banks to abandon plans to raise funds to build an oil pipeline to export Ugandan oil, saying the project would damage local livelihoods, water resources and wildlife.
The 1,445 km (900 mile) pipeline, which will run from fields in the west of Uganda to Tanzania’s Indian Ocean port of Tanga, is vital to developing the East African nation’s oil reserves.
South Africa’s Standard Bank Group and Japan’s Sumito Mitsui Banking Corporation are helping to raise the debt needed to finance the $3.5 billion pipeline.
“We consider this project to present unacceptable risks to local people through physical displacement and threats to incomes and livelihoods,” Global Witness and 29 other groups from Britain, the United States and elsewhere told the banks.
Unacceptable risks
In a letter urging the banks not to arrange financing, the groups said the project posed “unacceptable risks to water, biodiversity and natural habitats, as well as representing a new source of carbon emissions the planet can ill afford.”
Standard Bank said in an email it had received the letter and was reviewing it. Sumito Mitsui Banking Corporation declined to comment when asked by Reuters.
Uganda found oil reserves estimated to hold 6 billion barrels in western fields in 2006.
But progress on development has been slow, partly due to disagreements between the government and oil firms about strategy. Uganda also took several years to decide on a pipeline route.
France’s Total, China’s CNOOC and Britan’s Tullow Oil control the Ugandan fields.
The pipeline, which will cross rivers and swampland that act as a catchment for Lake Victoria and areas rich in wildlife, is expected to transport about 200,000 barrels per day (bpd) when oil production peaks.
Oohh kumbe sometimes ubongo wako hufanya kazi
Good to see
 
Ndio utajua mzungu sio mtu, kisa tumezuia mchanga wa dhahabu, vita vya kiuchumi ngumu sana, wao raha yao wachukue dhahabu watupe neti za mbu hafifu au wakupe mikataba kama bandari ya Bagamoyo, thanks Mr. president
 
Nashuku Kuna interests fulani wanataka Hawa mabeberu kwani ikumbukwe Pipeline sio barabara eti itakuwa na msongamano wa magari au watu ili iwe Wanyama hawataweza kuvuka pande moja Hadi nyingine. Afrika mbona tunakubali kubebwa kijinga na watu Hawa.

Ahaaa haaa haaa
I'm worrying if your account has not been hijacked!!
You never gave such a mature comment like this.
 
Wajinga sana ..hawa...
Yan wao wanajenga mitambo ya nuclear ..wana mine uranium..hawataki Uganda wasafirishe oil yao...whites wana shida sana..
 
Back
Top Bottom