Duh! Asasi 30 za kijamii za kimataifa zimejitokeza kupambana dhidi ya bomba la mafuta la Uganda

Duh! Asasi 30 za kijamii za kimataifa zimejitokeza kupambana dhidi ya bomba la mafuta la Uganda

Du mbona, western nations ndo hufanya uharibifu mkubwa wa mazingira kuliko sisi.
 
Hivi mazingira yanachafuliwa nchi zetu tu za Africa?
Uchafu unaoongoza kuharibu dunia ni wa viwandani na maviwanda yote chafuzi yapo kwao mengi tuu et bomba litasababisha adhari daa... Mbona kuna bomba la kwenda Zambia (TAZAMA) Na hakuna shida miaka na miaka asee kwel waafrica tuungane tuu
 
Walewale walioshindwa kuzuia ujenzi wa Rufiji hydro electricity project sasa wamepewa hela kuja kuzuia hii project ya bomba la mafuta.

Mbona ilipokuwa ipite Loktchar to Lamu hatukuwasikia wakilia juu ya mazingira, kwani watu wa Kenya wanapenda mazingira yao kuharibiwa?

Rais Kibaki alikuwa anaita watu wa aina hii ni akili ya Mavi ya kuku, hahaha🙂

Funny characters, kwa JPM na M7 ni lazima kazi ifanyike hata iweje....
Asasi hizo za kutokea Marekani, Uingereza na kwengine zimeungana na kushirikiana kwa pamoja kuandikia benki iliyojitokeza kutafuta mkopo wa kugharamkia bomba, zimeiomba benki isitishe michakato ya kutafuta hizo hela zikidai kuwa bomba lenyewe litaharibu mazingira na makazi ya watu.
Benki imejibu kwa kusema inatafakari ombi lao na itatoa majibu hivi karibuni.

Hapa kuna kitu sijakielewa, siku zote tuliambiwa kampuni ya mafuta ya Total ndio itapokeza hela za ujenzi wote, sasa inatokeaje benki ihusike kwenye kusaka mkopo, au tena ndio yale yale ya mabeberu....
------------------------

A group of 30 international and local campaign groups have petitioned two banks to abandon plans to raise funds to build an oil pipeline to export Ugandan oil, saying the project would damage local livelihoods, water resources and wildlife.
The 1,445 km (900 mile) pipeline, which will run from fields in the west of Uganda to Tanzania’s Indian Ocean port of Tanga, is vital to developing the East African nation’s oil reserves.
South Africa’s Standard Bank Group and Japan’s Sumito Mitsui Banking Corporation are helping to raise the debt needed to finance the $3.5 billion pipeline.
“We consider this project to present unacceptable risks to local people through physical displacement and threats to incomes and livelihoods,” Global Witness and 29 other groups from Britain, the United States and elsewhere told the banks.
Unacceptable risks
In a letter urging the banks not to arrange financing, the groups said the project posed “unacceptable risks to water, biodiversity and natural habitats, as well as representing a new source of carbon emissions the planet can ill afford.”
Standard Bank said in an email it had received the letter and was reviewing it. Sumito Mitsui Banking Corporation declined to comment when asked by Reuters.
Uganda found oil reserves estimated to hold 6 billion barrels in western fields in 2006.
But progress on development has been slow, partly due to disagreements between the government and oil firms about strategy. Uganda also took several years to decide on a pipeline route.
France’s Total, China’s CNOOC and Britan’s Tullow Oil control the Ugandan fields.
The pipeline, which will cross rivers and swampland that act as a catchment for Lake Victoria and areas rich in wildlife, is expected to transport about 200,000 barrels per day (bpd) when oil production peaks.


 
Mapinzani yako upande wa hizo taasisi
Kwenye stiglaz niko pamoja na taasisi ila hii ya bomba ni usenge tu wanafanya,lakini na huku bongo tuache mihemko nchi yoote ilienda tanga eti sijui uchumi wa bomba nk wakati tayari tuna bomba la Zambia sijui kipya huko itakuwa nini hadi kuamsha mihemko kuanzia juu mpaka kwa balozi wa nyumba kumi
 
Museveni outlines eight areas for economic growth
June 8, 2019National News, NewsComments: 0

By Moses Kyeyune.
President Museveni has listed eight critical areas that will spur the country’s economy to greater heights in the next one year period.

The President says that Uganda’s economic growth and development outlook is positive, with the economy projected to grow at, at least 7 percent in the medium term.

Key strategic under takings for steady growth, the President said will include industrialization to promote exports mainly of agriculture; Increasing production and productivity and investing in quality inputs.

The third area involves the commencement of oil and gas production and work on the Oil Pipeline and the Refinery which the president says will be starting soon.

Others include strengthening local content so that Ugandans can be integrated into wealth creation, improving efficiency in the execution of public investment among others.

 
Hapa nashuku kwamba mafuta ya Uganda ndio yananyemelewa nyemelewa kiaina. Siasa, vita na mafuta huwa vinaandamana sako kwa bako. Linapopita hili bomba wala sio ishu ni kisingizio tu.
Hata mimi naona hivyo, Kuna wakati flani kama Kenya tunafaa kunyamaza na kutoingilia issue za majirani lakini mambo kama haya tunafaa kunga mkono majirani zetu hata kama Bomba halikuja kwetu, Mara sijui mto rufiji utakufa TZ wakijenga ile hydro power plant, sasa eti bomba la mafuta Uganda lita affect livelyhood za wananchi na kuongeza carbon foot print............

Yani ni kama hawa wazungu hawataki watu weusi waendelee kiuchumi, projects kubwa kubwa zenye zitaleta zitafanya nchi kupiga hatua kubwa kwa mpigo hua wanahakikisha hazitawai fanyikiwa ili tuendlee kuwategemea kwa misaada !

hi mimi nimekataaa, 30 groups from US and UK!!!!
 
Back
Top Bottom