Duh! Asasi 30 za kijamii za kimataifa zimejitokeza kupambana dhidi ya bomba la mafuta la Uganda

Du mbona, western nations ndo hufanya uharibifu mkubwa wa mazingira kuliko sisi.
 
Hivi mazingira yanachafuliwa nchi zetu tu za Africa?
Uchafu unaoongoza kuharibu dunia ni wa viwandani na maviwanda yote chafuzi yapo kwao mengi tuu et bomba litasababisha adhari daa... Mbona kuna bomba la kwenda Zambia (TAZAMA) Na hakuna shida miaka na miaka asee kwel waafrica tuungane tuu
 
Walewale walioshindwa kuzuia ujenzi wa Rufiji hydro electricity project sasa wamepewa hela kuja kuzuia hii project ya bomba la mafuta.

Mbona ilipokuwa ipite Loktchar to Lamu hatukuwasikia wakilia juu ya mazingira, kwani watu wa Kenya wanapenda mazingira yao kuharibiwa?

Rais Kibaki alikuwa anaita watu wa aina hii ni akili ya Mavi ya kuku, hahaha🙂

Funny characters, kwa JPM na M7 ni lazima kazi ifanyike hata iweje....
 
Mapinzani yako upande wa hizo taasisi
Kwenye stiglaz niko pamoja na taasisi ila hii ya bomba ni usenge tu wanafanya,lakini na huku bongo tuache mihemko nchi yoote ilienda tanga eti sijui uchumi wa bomba nk wakati tayari tuna bomba la Zambia sijui kipya huko itakuwa nini hadi kuamsha mihemko kuanzia juu mpaka kwa balozi wa nyumba kumi
 
Museveni outlines eight areas for economic growth
June 8, 2019National News, NewsComments: 0

By Moses Kyeyune.
President Museveni has listed eight critical areas that will spur the country’s economy to greater heights in the next one year period.

The President says that Uganda’s economic growth and development outlook is positive, with the economy projected to grow at, at least 7 percent in the medium term.

Key strategic under takings for steady growth, the President said will include industrialization to promote exports mainly of agriculture; Increasing production and productivity and investing in quality inputs.

The third area involves the commencement of oil and gas production and work on the Oil Pipeline and the Refinery which the president says will be starting soon.

Others include strengthening local content so that Ugandans can be integrated into wealth creation, improving efficiency in the execution of public investment among others.

 
Hapa nashuku kwamba mafuta ya Uganda ndio yananyemelewa nyemelewa kiaina. Siasa, vita na mafuta huwa vinaandamana sako kwa bako. Linapopita hili bomba wala sio ishu ni kisingizio tu.
Hata mimi naona hivyo, Kuna wakati flani kama Kenya tunafaa kunyamaza na kutoingilia issue za majirani lakini mambo kama haya tunafaa kunga mkono majirani zetu hata kama Bomba halikuja kwetu, Mara sijui mto rufiji utakufa TZ wakijenga ile hydro power plant, sasa eti bomba la mafuta Uganda lita affect livelyhood za wananchi na kuongeza carbon foot print............

Yani ni kama hawa wazungu hawataki watu weusi waendelee kiuchumi, projects kubwa kubwa zenye zitaleta zitafanya nchi kupiga hatua kubwa kwa mpigo hua wanahakikisha hazitawai fanyikiwa ili tuendlee kuwategemea kwa misaada !

hi mimi nimekataaa, 30 groups from US and UK!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…