duh! dully sykes unaikumbuka hii?

duh! dully sykes unaikumbuka hii?

Yaani nimecheka! Huu ni utani wa ngumi kama sio ugomvi wa mawe. Ama, tumetoka mbali aisee.
 
na nyimbo zake hazichoshi ati!toka enzi hiyo!jamaa anaujua mziki!yeye, Q CHILLAR na mwana FA ni wasanii ninaowasalute SANA!MNOO! kibongoflava bongoflava
 
E bana ee, ki style na mkono mmoja kunako nyeti
 
Hela ione tu.... wengi hawajajua hela ni nn...!!
 
Back
Top Bottom