Duh eti Ajibu kazaliwa mwaka 1996 hahahaha

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wema Sepetu kawa Miss Tanzania 2006 lakin mpaka Leo anaadhimisha miaka 26 ya kuzaliwa, tena alikuwa Miss Tanzania akiwa tayari ana elimu ya Juu

Naibu Waziri mmoja taarifa zake anasema kazaliwa 1979 lakin taarifa za Wizara ya Elimu na na Mafunzo ya Amali Znz inaonesha Mwaka huo huo 1979 kaanza la kwanza
 
Asilimia takribani 40% ya watanzania hupenda kurudisha umri wao nyuma. Sijui i
ni kwa nini?
 
Asilimia takribani 40% ya watanzania hupenda kurudisha umri wao nyuma. Sijui i
ni kwa nini?
Hasa wacheza mpira
Na hiyo ni kwa sababu hawakusajiliwa academy
Lengo waonekane wadogo waweze kupata timu ulaya. Ila Ajibu ndo umri wake huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…