Duh eti Ajibu kazaliwa mwaka 1996 hahahaha

Duh eti Ajibu kazaliwa mwaka 1996 hahahaha

Nilisikitika sana kwenye Mashindano ya Under 20 kuona watu wazima ambao wengi average ya umri ni 25yrs. Ukiona hao wachezaji hafu uwapeleke kwa wanafunzi waliomaliza f6 mwaka huu utashangaa utofauti wa maumbo na ukomavu
Hata Mimi sishangai ukiangalia mashindano under 20 Kuna mibaba Kama ya over 40[emoji1][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Asilimia takribani 40% ya watanzania hupenda kurudisha umri wao nyuma. Sijui i
ni kwa nini?
Siyo watanzania tu, ni karibu Afrika yote
tapatalk_1561138772788.jpeg
 
Back
Top Bottom