Baba Joseph17 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2013 Posts 9,517 Reaction score 9,762 Jun 24, 2019 #41 Nilisikitika sana kwenye Mashindano ya Under 20 kuona watu wazima ambao wengi average ya umri ni 25yrs. Ukiona hao wachezaji hafu uwapeleke kwa wanafunzi waliomaliza f6 mwaka huu utashangaa utofauti wa maumbo na ukomavu riro23 said: Hata Mimi sishangai ukiangalia mashindano under 20 Kuna mibaba Kama ya over 40[emoji1][emoji2][emoji2][emoji2] Click to expand...
Nilisikitika sana kwenye Mashindano ya Under 20 kuona watu wazima ambao wengi average ya umri ni 25yrs. Ukiona hao wachezaji hafu uwapeleke kwa wanafunzi waliomaliza f6 mwaka huu utashangaa utofauti wa maumbo na ukomavu riro23 said: Hata Mimi sishangai ukiangalia mashindano under 20 Kuna mibaba Kama ya over 40[emoji1][emoji2][emoji2][emoji2] Click to expand...
P permanides JF-Expert Member Joined May 18, 2013 Posts 11,682 Reaction score 14,241 Jun 24, 2019 #42 Kobaba said: Asilimia takribani 40% ya watanzania hupenda kurudisha umri wao nyuma. Sijui i ni kwa nini? Click to expand... Siyo watanzania tu, ni karibu Afrika yote
Kobaba said: Asilimia takribani 40% ya watanzania hupenda kurudisha umri wao nyuma. Sijui i ni kwa nini? Click to expand... Siyo watanzania tu, ni karibu Afrika yote