wale wa kununua sina ujuzi nao ila hawapo kwenye hii category.....How? Inakuwaje?
Au hata wale wa kununua usiku mmoja wako category hii?
Mara nyingi nasikia mahusiano kati ya wapenzi lakini 'no strings attached'
najaribu kuyaelewa lakini nashindwa, kwani maana yake halisi ni nini?
Inafananaje au kutofautianaje na 'sex partners'
na je unaweza kuwa kwenye mahusiano ya aina hii na kutoka ukiwa haujavunjwa moyo kweli?
Naomba mnisaidie kudadavua hii kitu.
kwa vile hakuna exclusivity, ina maana mtu anaweza kuwa na mahusiano kibao ya namna hii siyo? if that is true, then the whole business is very risky
kwa vile hakuna exclusivity, ina maana mtu anaweza kuwa na mahusiano kibao ya namna hii siyo? if that is true, then the whole business is very risky
hakuna wivu? Hakuna kuulizana wewe uko na nani?
hii hufanikiwa pale wahusika wapo busy na nafasi yao ya dating ni finyu. juu ya hapo iwe kua
mwanamke ambao mara nyingi ndio wenye mioyo mwepesi awe katendwa weee hadi hana hamu tena
ya mahusiano ila ana mahitaji ya mwili. lla from no where unajiingiza katika mahusiano ya hivo? No way!
utaachaje kuchagua wala kubagua na hali mtu wamvulia nguo?
unaruhusiwa kuwa na 'no strings attached' partners zaidi ya mmoja?
Na ruksa wao kufahamiana?
Na wakifahamiana hawakusulubu kuwa unawacheat?
that is exactly what is supoz to be kwa jina lingine inaitwa open r/ship.hakuna wivu? Hakuna kuulizana wewe uko na nani?
Ikiwa no strings attached ina mana hauko tayari kwa mahusiano yalo serious ama mmoja wenu ndiio hayupo tayari. Inapotokea mpo katika hayo mahusiano na tena ukawa na mahusiano mengine ina mana aidha unapenda
sana ngono au ulie nae katika mahusiano wamuhitaji nje ya tendo la ngono, maybe becoz hakuridhishi
na huyu huku ndio akuridhisha ki ngono. Ni marufuku hata watu kujua kua mna mahusiano
let alone ulo nae katika mahusiano ikiwa no strings attached.