Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,991
- 24,211
Mara nyingi nasikia mahusiano kati ya wapenzi lakini 'no strings attached'
najaribu kuyaelewa lakini nashindwa, kwani maana yake halisi ni nini?
Inafananaje au kutofautianaje na 'sex partners'
na je unaweza kuwa kwenye mahusiano ya aina hii na kutoka ukiwa haujavunjwa moyo kweli?
Naomba mnisaidie kudadavua hii kitu.