Duh, eti 'No strings attached'??!!! Ya kweli haya!

ndo maana Mwali kapotea, asije kuwa kaenda kujitundika
kwa nini hukumuuzia yeye hata kwa upendeleo?

Ishauzwa long time. Sio biashara ya kudoda ile.
 
ndo maana Mwali kapotea, asije kuwa kaenda kujitundika
kwa nini hukumuuzia yeye hata kwa upendeleo?

Upendeleo gani? Nilisema tokea mwanzo kabisa kuwa all offers would be considered equally with the most attractive offer being accepted. Hers was not the most attractive. Kama kaenda kujitundika shauri yake. Strictly no FWB.
 
Mmh, ngoja aje nione kama utakuwa unatamba hivi.

Labda jaribuni 'nsa'
nasikia inalipa kuliko dhahabu.

Swali la kizushi, nani alishinda? πŸ™‚ πŸ™‚

Kwenye biashara hakuna NSA or FWB. Kwa sababu ya privasi na konfinenshialiti aliyeshinda siwezimtaja
 
hapa nahitaji loya wa jei efu kolo ainvestigate.

Kuna kila dalili ya radar, EPA au richmond.

Kwenye biashara hakuna NSA or FWB. Kwa sababu ya privasi na konfinenshialiti aliyeshinda siwezimtaja
 
sina hakika kama nyaraka zote zitakuwa sahihi.
Nitazipima DNA hizo nyaraka.

Mwali hawezi shindwa kirahisi hivi.

Mafaili yote atayakuta mezani.
 
sina hakika kama nyaraka zote zitakuwa sahihi.
Nitazipima DNA hizo nyaraka.

Mwali hawezi shindwa kirahisi hivi.

Haya nayo yanahusika na NSA?

Mhhh....umefikia level ya mwizi kujiibia???

Babu DC!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…