Duh, eti 'No strings attached'??!!! Ya kweli haya!

Duh, eti 'No strings attached'??!!! Ya kweli haya!

Ndoa za mitala zina attachments na zinatambuliwa hata mbele ya sheria. Na hizo nyumba ndogo zinakuwa na makubaliano + commitments nyingi tu. Na katika mahusiano ya aina hiyo, wivu upo tena wa hali ya juu.

Mila za kuazimana wake na majirani au marafiki kwa siku moja (kwa Wamasai, Wanyankole wa Uganda, kabila la Mseveni), hapo nakubali kwamba mahusiano kama hayo ni dizaini ya NSA. Ila huwa wanarudia rudia?

Babu DC!!!
babu kimsingi nimekuelewa ila nilichotaka kuonesha hapo kwenye mfano wangu ni kuwa km unaweza kuwa na nyumba ndogo hlf inatambua upo kwenye nyumba kubwa na ikaheshimu physically ,emotionally na financially ......na pia km hayo makabila mtu akakupa mke wake ulale naye hata km ni kwa 1 night stand na akakubali physically ,emotinally na financilly ni kwanini usiamini kuna watu wanaweza kupractise hiyo NSA?
NA MIMI SIKATAI KUNA NSA NYINGI ZILIZOSHIFT KWENDA KWENYE FULL RESPONSIBLE R/SHIP NA ZINGINE MPAKA MARRIAGE KABISA NA KUNA ZINGINE ZIMEISHIA HAPO HAPO KWENYE NSA na watu wanapeta.
 
Hii mbona kuna commitment? Huo urafiki sio commitment?
Uhusiano with no strings attached bila commitment utafanikiwa kweli? Kwa mfano sex with no strings attached, the sex itself si ndio commitment? Lazima kuwe na commitment toka kwa pande zote mbili ili kuwa na uhusiano wa aina hiyo. No commitment, no such a relationship or sex.
 
Dah, kuelewa mahusiano ya binadamu ni kitu kigumu sana kwangu.
Ngoja nidegest kwanza, ntauliza baadae.

Uhusiano with no strings attached bila commitment utafanikiwa kweli? Kwa mfano sex with no strings attached, the sex itself si ndio commitment? Lazima kuwe na commitment toka kwa pande zote mbili ili kuwa na uhusiano wa aina hiyo. No commitment, no such a relationship or sex.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Mara ya kwanza sawa, mkirudia 2, 3 bado inawezekana?

Hii mbona kuna commitment? Huo urafiki sio commitment?

Mmmh inawezekana labda mmoja aanze kuchukulia serious..thats when it all goes wrong!
 
Back
Top Bottom