asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,035
babu kimsingi nimekuelewa ila nilichotaka kuonesha hapo kwenye mfano wangu ni kuwa km unaweza kuwa na nyumba ndogo hlf inatambua upo kwenye nyumba kubwa na ikaheshimu physically ,emotionally na financially ......na pia km hayo makabila mtu akakupa mke wake ulale naye hata km ni kwa 1 night stand na akakubali physically ,emotinally na financilly ni kwanini usiamini kuna watu wanaweza kupractise hiyo NSA?Ndoa za mitala zina attachments na zinatambuliwa hata mbele ya sheria. Na hizo nyumba ndogo zinakuwa na makubaliano + commitments nyingi tu. Na katika mahusiano ya aina hiyo, wivu upo tena wa hali ya juu.
Mila za kuazimana wake na majirani au marafiki kwa siku moja (kwa Wamasai, Wanyankole wa Uganda, kabila la Mseveni), hapo nakubali kwamba mahusiano kama hayo ni dizaini ya NSA. Ila huwa wanarudia rudia?
Babu DC!!!
NA MIMI SIKATAI KUNA NSA NYINGI ZILIZOSHIFT KWENDA KWENYE FULL RESPONSIBLE R/SHIP NA ZINGINE MPAKA MARRIAGE KABISA NA KUNA ZINGINE ZIMEISHIA HAPO HAPO KWENYE NSA na watu wanapeta.