Duh! hadi Putin anatembea na mkoba wa nyuklia, kweli hali mbaya

Duh! hadi Putin anatembea na mkoba wa nyuklia, kweli hali mbaya

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Sio kawaida ya huu mkoba ambao unaitwa "Cheget" kuonekana hadharani, lakini imembidi Putin kutembea nawo baada ya kuhofia kamata yoyote kwa ajili ya ICC.
==================

Russian President Vladimir Putin has been filmed in Beijing following his meeting with Chinese leader Xi Jinping – escorted by officers carrying the nuclear briefcase.

Source: Reuters; RIA_Kremlinpool

Details: The nuclear briefcase is reportedly being carried, as is traditional, by an officer of the Russian Naval Fleet. It is known as the "Cheget" (named after Mount Cheget in the Caucasus Mountains). The briefcase is supposedly with Putin at all times, but is rarely caught on camera.


View: https://t.me/RIAKremlinpool/10965

 
Wazichape tuu hasara kwetu tz viongozi wetu wanakomba pesa uku wanakimbiza kule (manchi yenye nguvu).
Wao wanazitumia kutengeneza bankers kubwa uko underground kulinda raiya wake kipindi cha vita sisi tunazidi nyonyana nakutafuta pesa za uchaguzi ujao tuu nakusemana semana.

Hii hali inayoendelea dunia atupaswi kuanza kuangalia upande gani tujiunge nao upi tuuache, kinachotakiwa kufanyika now nikuangalia usalama wa watanzania. Huu ni mda wakuinvest kwenye teknologia kuliko mda wowote ule hapa tanzania.

Vifaa vya teknologia na elimu visambazwe,

.investors pia wamasuala ya teknologia wapunguziwe kodi nyingi ili waelekeze pesa na rasilimali nyingine panapo hitajika

Tunaitaji
1, teknologia kwenye vyombo vyote vya usalama
2, tunaitaji bankers za usalama wa raia almost ata watu laki waweze survive incase ya chaos eruptio
3, tuwe na rule of war, sio tuu rule of law
4, tupunguze ulafi wa pesa
 
Putin mstaarabu, Kuna vichwa Urusi vinamshangaa kwanini anazichekea nchi za west wakati uwezo anao. Akiuacha kina Medvedev hawakawii kuubonyeza.
 
briefcase is supposedly with Putin at all times, but is rarely caught on camera.

mbona hoja yako tofauti na lugha hii au unawazuga tu
 
😄😄...namuona anatembea na mafuta ya Vaseline yake ili wakimkamata aweke kilainishi wasimuumize...😄😄😄

Mwanaume anayejiamini hatembei na kisu au sime kwenye mitaa ya wahuni.
 
Back
Top Bottom