Duh! Huyu Mtanzania kwenye ndoa miaka 21 bila tendo - jameni hizi ndoa hizi

Duh! Huyu Mtanzania kwenye ndoa miaka 21 bila tendo - jameni hizi ndoa hizi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Mahakama kule Tanzania imeidhinisha talaka baada ya wanandoa fulani kukiri hawajafanya tendo kwa miaka 21, jameni hizi ndoa zimekua changamoto, muhimu sana wale wake zetu ambao hununa wakikosa tendo kwa wiki moja waisome hii.

======

Dar es Salaam. In a bizarre case that has attracted the attention of many, a court in Buguruni has dissolved the marriage between gospel singer, Rebecca Magaba, and Zabron Maselege after the couple failing to consummate the marriage for 21 years.

In the dissolution, the court ordered equitable division of assets accumulated during the marriage. A 10-acre farm located in Bagamoyo, two shops located in Bonyokwa and a tree farm located in Kigoma were given to Maselege, while Rebecca kept a real estate property in Madale, Dar es Salaam.

While giving evidence in court on why the marriage should be dissolved, Rebecca claimed that they failed to have sexual intercourse during the 21 years of marriage because her now ex-husband suffered from cryptorchidism (undescended testicle).

Resident Magistrate, Mwinyiheri Kondo said the court has decided to dissolve the marriage after satisfying itself that the couple is doing things contrary to marital expectations.
 
Maselege alishawahi kuonja au Magaba alifuata tamaa ya pesa? Maana sasa ni mmiliki halali wa Real Estate Madale.
 
Hizi ndoa,so during all those times ilikuwaje yani mpaka imesitishwa leo?,Marriage is an old customerly
 
siamini kama Magaba alikaa mda wote huo bila kuchepuka. haiwezi kua aliolewa bikra kisha baada ya miaka 21, hamna bikra tena.... imeenda wapi, na nani?
 
Uyo mwanaume nae ni shoga,, miaka 21 si umri wa mtu mzima au mganga katoa tamko
 
Back
Top Bottom