Duh Huyu Mwarabu Kiboko na Haya Majibu. Lazima Ucheke

hahahaa! Uwii umenikumbusha kijiji flan kinaitwa sangirwa kuna waarabu ambao wanaongea kisukuma zaidi ya wasukuma.
waarabu wazushi sana kila kona wao wapo.
Nalog off
 
Khaaaa kweli mwarabu zimemfyatuka!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…