Hiyo hoja haijitoshelezi kwa baadhi yetu.Chanzo cha ulimwengu kinajulikana. Biblia inaniambia hivi:
"Hapo mwanzo, Mungu aliumba mbingu na dunia..."(Mwanzo 1:1-25)
Hakika
Kwanini haijitoshelezi? Hoja hiyo imejengwa kwenye Biblia, kitabu cha kuaminika. Soma nyuzi hizi uone jinsi Biblia ilivyo tofauti na vitabu vingine:Hiyo hoja haijitoshelezi kwa baadhi yetu.
sema wewe haujui chanzo cha ulimwengu.usiseme hakijulikani.Atheism sio kuamini ulimwengu hauna chanzo, ni kutoshikilia imani za kidini.
Chanzo cha ulimwengu hakijulikani.