mzungu

Also known as muzungu, mlungu, muzungu, musungu or musongo, mzungu (pronounced [m̩ˈzuŋɡu]) is a Bantu language term used in predominantly Swahili speaking nations to refer to Caucasian people. The noun Mzungu or its variants are used in Kenya, Tanzania, Malawi, Rwanda, Burundi, Uganda, Democratic Republic of the Congo, Comoros, Zimbabwe, Mayotte, Zambia and in Northern Madagascar (the word changed to "vozongo" in Malagasy, but the locals will still understand the word mzungu) dating back to the 18th century.

View More On Wikipedia.org
  1. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Akifanya hivi mzungu mtasema "waoh, delicious", ila mimi wa majohe mtaniandikia "tafuta hela wewe"

  2. bless on

    JamiiForums Tanzania Kisa Cha kweli chenye utata wa kibaiolojia mapacha wawili mzungu na muafrika

    Mwaka 2022, nchini Brazil (mji wa Mineiros), binti mmoja wa miaka 19 alijifungua watoto wawili wa kiume waliotazamiwa kuwa mapacha wa kawaida. Watoto hao walikua kwa amani hadi walipofikisha umri wa miezi minane. Lakini kutokana na sura za watoto hao kuanza kutofautiana sana, mama huyo aliamua...
  3. O

    JamiiForums Kenya Mvutano Kwenye Mtandao: Mzungu Agoma Kulea Mimba Aliyosingiziwa

    Hivi karibuni, kanda ya video imeibuka mtandaoni na kusambaa kwa kasi ikimuonesha mzee mmoja wa kizungu akiwa na ghadhabu akieleza masaibu yaliyomfika baada ya kudaiwa kupewa ujauzito na msichana mdogo. Kulingana na mzee huyo, baada ya miezi minne kupita tangu awasiliane na msichana huyo...
  4. bless on

    JamiiForums Tanzania Dunia ya Mungu vitu vya mzungu? Wabongo tunatengeneza nini?

    Yaani Bongo bado sana, hivi hatushtuki? nguo za mzungu, viatu vya mzungu, mpaka chandarua uliyolalia ni ya mzungu! simu ya mzungu, Sisi tunatengeneza nini? Shule zenyewe tunazosoma ni mfumo wa mzungu, tunakaririshwa madudu ambayo hayatusaidii kupata hata ugali wa kila siku bila kuomba ajira...
  5. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Hiki ndicho mzungu anachoweza kukifanya na matokeo yake ya kushikika ila sisi ni 2026 mwana JF unaandika uzi wa kuomba mganga wa pesa za kimazingara

    Jamaa kafanyia facial implant, yaani kama muujiza.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kumrudisha mzungu Tanzania na nchi za Africa ni kutatuta wawekezaji

    Haiwezekani mtu aje kuwekeza Matrilioni ya shilingi asiwe interested na Siasa!
  7. min -me

    JamiiForums Tanzania Kupata mwanamke mzungu ,tena akakupa kipaumbele kwenye maisha yake ni rahisi mno

    Kupata mwanamke mzungu ,tena akakupa kipaumbele kwenye maisha yake ni rahisi mno. Tena wapo wengi mno ,ila ni wale rijecti ambao kwenye nchi zao soko lao ni finyu mno. Yani wewe utaambulia tukunyema , manyama uzembe , na lizee lililo achika kwenye ndoa yake. Ila vile vichunchuda vya...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kupiga story na mzungu

    Jana nilitoka zangu kawaida, bila hata kujua kwamba siku hiyo ningekutana na mtu ambaye angenifanya nicheke mpaka nikasahau nilikuwa naenda kufanya nini. Nikiwa njiani nikamuona mzungu mmoja amesimama pembeni, anaonekana kama amepotea. Nikajiambia moyoni, Kinsman, leo English yako itapimwa.😂...
  9. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Nadili vipi na huyu mzungu msumbufu asietaka kulipa deni langu.

    As salaam alaykum Aisee wanasema wazungu ni wastaarabu ila Usiombe ukutane na Mromania, Mpoland na Mfaransa kwenye moja na mbili. Wahindi na Waarabu ni special case japo tumeshawazoea. Kuna huyu Mromania namdai zaidi ya Dola 2300$ alikaa kwenye Bnb yangu akaondoka bila kukamilisha malipo saiv...
  10. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania UEFA yataka rais wa FIFA akumbuke kuwa yeye ni mzungu hatakiwi kukosea

    Rais wa Uefa Aleksander Ceferin amesema Gianni Infantino anahitaji kukumbuka kuwa yeye ni Mzungu baada ya kuelezea mpango wa FIFA wa kuuza hisa katika Kombe la Dunia kama mbaya zaidi kuliko ule wa Super League. Mapema mwezi huu, baraza linaloongoza dunia liliacha pendekezo la Infantino la...
  11. Huihui2

    JamiiForums Tanzania GeorDavie kwenye kashfa nyingine ya ngono na uchawi na binti wa kizungu

    Sehemu hii kutoka kwenye makala ya Be Scofield katika jarida la The Guru Magazine inaeleza kwa undani madai na sauti zilizorekodiwa kutoka kwenye kipindi cha faragha cha "ukombozi" kati ya mtoa taarifa Melissa Archer na nabii anayejiita GeorDavie, ambaye ana uhusiano wa karibu na Kanisa la 5F la...
  12. Vien

    JamiiForums Tanzania Anachofanyiwa coy mzungu na comedian aliowapa nafasi kwenye platform yake ni ishara ya tenda wema nenda zako

    Wengi wetu tunamfahamu Coy Mzungu, CEO wa Cheka Tuu. Tukirudi nyuma kwenye historia ya stand-up comedy Tanzania, record zinaonyesha kuwa marehemu MC Pilipili alikuwa miongoni mwa waanzilishi muhimu wa stand-up comedy nchini. Lakini ni Coy ambaye alikuja kuipa industry hii nguvu mpya kupitia...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Je Haaland ni Albino? Mdau atoa sababu ya kitaalamu kwanini watu wengi wanadhani Haaland ana features za kiafrika ndani ya ngozi ya mzungu.

    Watu wengi wamekuwa na maoni kwamba Erling Haaland ana muonekano kama wa mwafrika. Sura ya Haaland ni features za kiafrika isipokuwa ngozi na nywele ndio vya mzungu. Wengi wanamfananisha na wa Afrika kutoka West Africa.. ( Rapper Fat Joe ni moja Kati ya watu ambao sio wa Afrika lakini wana...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Its 2026, elon musk anatengeneza kifaa cha kusaidia vipofu kuona meanwhile bongo bado mambo ni haya

    Ukijaribu kusema unaambiwa hata wazungu wana uchawi wao😬 anyway, maisha yaendelee.
  15. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Seanolson Mzungu: Wanawake wa bongo ni omba omba

    Katika mahojiano yake na wasafi MZUNGU huyo ameoneshwa kukerwa na tabia ya mademu wa bongo kuomba omba hela, MZUNGU huyo amedai ni OMBA OMBA sana, katika kipindi CHA wasafi the switch, akiwa na Aaliyah na mchaga og.
  16. Sonship

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Fursa ya Viwanja-Mbezi Mpigi Magoe kwa Mzungu

    HII NI FURSA - VIWANJA VYENYE HATI MBEZI MPIGI MAGOE! Unatafuta kiwanja cha kujenga nyumba au uwekezaji wenye uhakika? 📍 Mbezi Mpigi Magoe – Kituo kwa Mwaseba/Kwa Mzungu, wilaya ya Ubungo 🏡 Kiwanja SQM 650 – Milioni 28 Tu 🏡 Kiwanja SQM 750 – Milioni 33 Tu ✅ Kila kiwanja kina Hati Safi ya...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji mzungu amlalamikia mpangaji kumdhulumu eneo lake karatu

    Mgogoro mkubwa umeibuka katika jengo la biashara la Manyara Safari Lodge – Heritage Camp Lodge lililopo wilayani Karatu, mkoani Arusha, baada ya mwekezaji wa kigeni na mmiliki mwenza wa eneo hilo, Timothy Flavell, kudai kuwa anajaribiwa kutapeliwa na mpangaji wake, Erick Mashauri. Flavell, raia...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mzungu yupo mbele ya muda, maisha aliyoishi tutayakuta mbeleni, suala la watoto na wajukuu zetu kuoa single mothers halikwepeki

    Sikuhizi kumekuwa na ongezeko kubwa sana la single moms, tena sio ile ya zamani tuliyozoea ya mtoto moja, hii version mpya unamkuta binti ana 24 tayari ana watoto watatu. Kufikia 2040 hii rate ya single moms inaweza kuwa juu mno Wazazi na kina babu wa watoto zetu wa kiume, kwanza kabisa...
  19. Dr. Mariposa

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa kibongo acheni unafki: Angekuwa mzungu mwanamke amewaita msingeenda?

    Ifike mahala sasa muweke unafki pembeni na mgeuze shilingi, angekua ni Mrussia mwanamke amekukuta sijui stand ya bus, sijui supermarket au kibanda cha kubet amekuita hutaenda kumsikiliza? akakwambia wewe ni handsome sana na umevaa kitanashati hutajichekelesha chekelesha? akakwambia msindike...
  20. bahati93

    JamiiForums Tanzania Nani amewahi shika nywele za mzungu au Singasinga?

    Mimi nimewahi shika nywele za Mwarabu jina lake Abduli, ni zamani kidogo kipindi nikiwa kidato cha kwanza. Nilishangaa nilivyozishika kwani zilikuwa ngumu kama manyoya ya kondoo nilitegemea zitakuwa laini. Na wengine mtoe ushahidi wenu. Lakini, kabla sijaongea sana kwanini sisi watu pori tuna...
Back
Top Bottom