mzungu

Also known as muzungu, mlungu, muzungu, musungu or musongo, mzungu (pronounced [m̩ˈzuŋɡu]) is a Bantu language term used in predominantly Swahili speaking nations to refer to Caucasian people. The noun Mzungu or its variants are used in Kenya, Tanzania, Malawi, Rwanda, Burundi, Uganda, Democratic Republic of the Congo, Comoros, Zimbabwe, Mayotte, Zambia and in Northern Madagascar (the word changed to "vozongo" in Malagasy, but the locals will still understand the word mzungu) dating back to the 18th century.

View More On Wikipedia.org
  1. dalalitz

    Martina Big: Mwanadada, mzungu aliejibadikisha na kuwa mweusi kama Mbantu ngozi na macho

    Hii Dunia haiishi viroja. Huku Dada zetu, Wabantu kama mimi wakipishana kuingia Maduka ya Vipodozi hadi wengine kufikia hatua ya kujidhuru kutokana na kupaka mikorogo isiyo ya viwango maalum ilimradi tu wawe na ngozi nyeupe (Kama Wazungu) wakiamini pengine inavutia zaidi ya ile waliyojaaliwa...
  2. KING MIDAS

    Mfahamu Mika Mwamba, Producer Mzungu aliyeibua vipaji vingi Tanzania

    MIKA MWAMBA PRODUCER ALIYEIBUA VIPAJI VYA WASANII WENGI BONGO Ngoma za huyu mwamba zilikuwa na vinanda vyenye ma-vibe ya kufa mtu: Tamara + ni wewe - Hard Mad Eno maiki - Ziggy Dee (Uganda) Nakupenda Mpenzi - Dudu Baya get down - Prezo ft Naziz (Kenya) Twenzetu - Chege Baby Gal + wange - Mad...
  3. Eli Cohen

    Mzungu aomba msaada wa kurudi kwao baada ya kufulia akitanua na mdada wa Kenya

    Sasa sijui huyu jamaa ni tapeli au ni mkweli. Anasema alikuja Kenya november mwaka jana kukutana na huyo mdada wa Kenya Eti wamespend nae pesa sana hadi zimekata na mdada nae amemkimbia baada ya kufulia. Anaomba msaada ili aweze kurudi kwao Ireland...
  4. Mjanja M1

    Mzungu ataka uraia wa Tanzania, agoma kurudi kwao

    Hakuna binadamu anaependa Vita wala kubebeshwa silaha, huyu kijana toka Uingereza ameamua kuukana Uraia wake na kumuomba Rais Samia ampatie Uraia wa Tanzania. ANGALIA VIDEO HAPA Nini maoni yako? Written by Mjanja M1 ✍️
  5. G

    Tafsiri kamili ya kiswahili ya kitabu alichokuwa anakigawa mzungu kwa watoto, yaliyomo hayana tena shaka, sheria ifate mkondo !

    THE GRANDPA THAT NEVER GREW UP Kabla hujasoma kilichoandikwa ni muhimu kwanza umjue msanii Cher na sherehe za Pride Cher ni msanii mkongwe ambae ana mchango mkubwa sana kwenye itikadi za kuhalalisha mapenzi ya jinsia moja, Harakati zake zilianza kipindi cha miaka ya 60 kipindi ambacho...
  6. G

    Kiingereza kimetuaibisha tena, Mzungu kugawa vitabu kwa watoto na kuzushiwa vitabu havifai bila kuelewa kilichoandikwa ni fedheha na aibu kwa taifa

    UZI UMEFUNGWA >> Kuna ushahidi usio na shaka kwamba ni kweli vitabu vinahusu mmonyoko wa maadili
  7. Mjanja M1

    Video: Mzungu akamatwa kwa kugawa vitabu vya ushoga kwa watoto

    Hii ni video inayosambaa mitandaoni inayoonyesha Mwanamke mmoja wa kizungu akiwa amekamatwa na Wananchi kwa shutuma za kusambaza vitabu vyenye kueneza tabia ya Ushoga kwa watoto. ANGALIA VIDEO HAPA Nini maoni yako? Written by Mjanja M1
  8. GENTAMYCINE

    Simon Msuva basi hata kama uliamua Kumpigia pande huyo Shemeji yako Mzungu Taifa Stars, mbona ana Kiwango kibovu hivyo?

    Halafu hapo hapo tena tukaambiwa kuwa huyo Shemeji yako ( Mchezaji Mweupe kutokea Uingereza ) anacheza Ligi Daraja la Tatu wakati kumbe anacheza Ligi Daraja la Tano Uingereza ambalo kwa huku Kwetu Tanzania ni sawa tu na Ndondo Cup ile ya Shaffih Dauda. Kwahiyo Simon Msuva ( Shemeji Mtu ) na TFF...
  9. OKW BOBAN SUNZU

    Jinsi mzungu alivyoiba idea ya Yanga

    😀😀😀😀 Hivi Utopolo mnawachukuliaje mashabiki wenu?
  10. Mjanja M1

    Naogopa Manati ya mzungu

    Habari zenu, Kwenye maisha kuna mambo mengi sana ya kuogofya, ila jambo kubwa linalotisha mimi Mjanja M1 ni Manati ya Mzungu. Kama unajijua kuwa unamiliki Manati ya Mzungu tafadhali sana nakuomba ukae mbali namimi, maana UGOMVI NAWEWE SITAKI. SITAKI UGOMVI NA MTU ANAEMILIKI MANATI YA...
  11. BARD AI

    TAWA: Bado tunachunguza tukio la Muwindaji kuua Mamba

    Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA) imesema inaendelea na uchunguzi kuona kama kuna ukiukwaji wa Sheria za uwindaji baada ya kuonekana kwa video ya Mwindaji wa Marekani Josh Bowmer akifurahia kuwinda mamba mkubwa nchini Tanzania mwenye rekodi ya dunia na kuleta taharuki. Taarifa ya TAWA...
  12. O

    Afrika ni demu wa mzungu? Mchina na muarabu ebu tubadilike

    HUTAJIFUNZA HILI KATIKA SHULE YOYOTE. ° Eneo la Afrika = 30,37 milioni km2 ° Eneo la China = 9,6 milioni km2 ° Eneo la Marekani = milioni 9,8 km2 ° Eneo la Europa = milioni 10,18 km2 ● Afrika ni kubwa kuliko Ulaya yote, Uchina na Marekani kwa pamoja. ● Lakini kwenye ramani nyingi za dunia...
  13. Mwande na Mndewa

    Nashauri nafasi ya Urais tumpe Mzungu ili atuletee maendeleo

    Ndugu zangu Watanzania napendekeza Wazungu wagombee nafasi ya Urais ili watuletee maendeleo,tumeona katika shughuli za kimaendeleo tumewapa bandari ndugu zetu DP World,tumefanikiwa, Tanesco napo panasua sua tumwongezee DP World aweze kuleta Umeme wa uhakika wakikataa tuwaite tena Net Solution...
  14. GoldDhahabu

    Mzungu na Mwafrika wakishirikishana uzoefu

    Wote ni binadamu, kwa hiyo wote wana mazuri yao na madhaifu yao. Unafikiri: 1. Kipi kizuri Mzungu alicho ambacho Mwafrika anapaswa kukiiga? 2. Kipi kizuri Mwafrika alicho nacho ambacho Mzungu anapaswa kukiiga? Karibuni!
  15. DR HAYA LAND

    Ili mtu mweusi aweze kuendelea anabidi kujifunza kutoka kwa mzungu na watu wa dunia ya kwanza

    Tukubali tu wenzetu wazungu wamepiga hatua kubwa Sana na wako mbele yetu sana. Tujifunze kupitia wao na sio kuwachukia maana kuwachukia haisadii chochote zaidi ya kuendelea kukaa pale pale. Ukitaka kuijenga Akili yako ili iwe bora, soma vitabu vya wazungu huko ndo utapata maarifa sahihi na...
  16. matunduizi

    Binadamu wa kwanza kuendelea ni Muafrika sio Mzungu. Ujinga na umasikini ulionao umejitakia mwenyewe.

    Ustaarabu na maendeleo duniani ulianzia Misri. Misri ilikuwa na watu weusi wa kutosha. Ndio maana hata wazungu walienda kuvamia sanamu za mafarao na kuzing'oa mapua ili kupoteza ushahidi. Enzi hizi wazungu wanaishi mapangoni kama manyani. Kwa muJibu wa kitabu why nations fail, kuna maelezo...
  17. William Mshumbusi

    Pitso Mosimane hana timu sasa ila anayetafutwa na viongozi Simba sio kocha bali mzungu asiye na uamuzi kwenye timu ili dili za usajili ziendelee

    Kama simba ipo siliasi kutaka kocha yupo Pitso Mosimane Rcord zake hazina mashaka. Kaongoza timu ya taifa S. A 2010-2012. Akaongoza mamelod 2012-2020. Viongozi hawana huruma na Ela za Mo dewji. Dili zao zote hufanikisha kwenye Wazungu. Aliletwa mzungu Foward kwa karibu Billion 1. Hakuingia...
  18. William Mshumbusi

    Tetesi: Ni yaleyale mlete mzungu. Fernando Da Cruz kocha Mbovu eti ndio kocha mpya Simba, basi Viongozi hawajitambui

    Wametafuta mzungu asiye na timu anayezulula tu mtaani wakaongea nae. Ifikie sehemu tuheshimu wazawa. Dili la viongozi kupiga Pesa ndefu kwa Mo limekaribia kutiki. Huyu kocha hajawahi kuongoza timu yoyote ile kwa miaka miwili mfululizo. Anaishiaga nusu msimu. Viongozi wanaweka siri ili watu...
  19. U

    Wazaa Mtoto Mzungu aliyethibitika ni wao japo baba na mama ni Weusi

    In 2010, a black Nigerian couple living in London gave birth to a whitè, blond haired, blue eyed baby who become known as “The Miracle baby”. When Angela Ihegboro first saw her newborn daughter, she was, “speechless.” “She's a miracle baby,” the 35-year-old mother said, “But still, what on...
  20. Kijakazi

    Mzungu Mkoloni alianzisha Simba na Yanga!

    Hivi wamisheni mnaowaita Wakoloni wasingeanzisha Simba na Yanga leo hii mngeshangilia nini? Timu zenu mlizoanzisha kama lipuli, maji maji & Co. hazijulikani hata zilipo, halafu kuna watu wanabeza Ukristu na mchango wa Kanisa tanzania. kabla ya Kanisa kuingia tanzania kulikuwa hakuna timu ya mpira …
Back
Top Bottom