Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,921
- 19,772
Ifike mahala sasa muweke unafki pembeni na mgeuze shilingi, angekua ni Mrussia mwanamke amekukuta sijui stand ya bus, sijui supermarket au kibanda cha kubet amekuita hutaenda kumsikiliza? akakwambia wewe ni handsome sana na umevaa kitanashati hutajichekelesha chekelesha? akakwambia msindike anapoenda au jioni mkutane kwa chakula cha usiku hutatoa namba au kumfata kama zombie kasikia harufu ya damu?
Jitafakari tu mwenyewe, na mkomwe wako kama bus la Tahmeed, na kunuka kwako kibeberu bado mzungu amekusifia hutamfata wewe au kwa vile jambo limetokea kwa wanawake basi ndio makasiriiiiiko, na kwanini wanaume wa Kiafrika hasa wa Tanzania mnafurahi sana jambo baya likimkuta mwanamke? ni wivu kua somehow mnatamani kua wao ama nini?
Mnashindwa hata na kuku ikitokea jike anapatwa na shida jogoo humdefend kwa haraka sana,
Kuna michokoraa mingine humu humu inadiriki kusema "wanawake WOTE Malaya" yaan hapo amemjumuisha mama ake alomzaa kwa uchungu na bibi ake alosababisha mama ake akazaliwa na yeye bichwa box likazaliwa, laiti kama hao wazee wake wangejua kua litoto lao linawaona Malaya tu kisa wamemzaa! mama wa watu angebana miguu wakati linatoka akajipunguzia maumivu ya kuchanwa uke na mbichwa wake mkubwa na bado uzeeni amuite malaya, aibu yenu!
Kwenye dunia hii mbaya ilojaa wakina Epstein na kina Mrussia badala ya kufurahia wanawake zenu kudhalilishwa namna ile na 'mzungu' mlipaswa muungane kwa pamoja kupinga huo udhalilishaji, unyanyasaji, ukandamizaji, ubaguzi wa rangi, wote kwa sauti moja tungekemea ili watoto wetu wa kike waishi kwa usalama,
Hapo hapo tungezigeukia serikali zetu zinazoendesha nchi kidhalimu bila kujali hali za kipato kwa wananchi wao, umaskini wa kupindukia ndio unafanya wanawake na vijana kujiingiza katika mambo hatarishi,
tumeona yule dada Mghana anayeishi Newyork alivyomkataa Mrussia, kwanza sababu ana exposure pili ana pesa zake, wengine wote walidumbukia kirahisi wakiamini umaskini wao utaenda kumalizwa ama kupunguzwa kabisa.
Aibu yenu pia viongozi wa Afrika na aibu zaidi kwa serikali ya Kenya kwa kushindwa kusema neno kupitia sakata la huyo mpuuzi,
Tukirudi kwenu nyie mnaojiita wanaume lakini mmekosa kariba ya kiume, mmekua watu wa vichambo, bullying, kejeli na matusi dhidi ya wanawake zenu (hata hapa mtakuja na mkianza vichambo vyenu haraka mzitoe kende mzining'inize paleeeee, niwape madera ili mchambe vizuri)
Mrussia huyo huyo angewaita mngeenda na hotelini kwake mngefika, hayo mengine sijui sasa kama yangefanyika au mngekaza lol, ila kwenda mngeenda acheni unafki.
Nipo na popcorn zangu hapa na mwamvuli. 🍿🥤⛱️