Wanaume wa kibongo acheni unafki: Angekuwa mzungu mwanamke amewaita msingeenda?

Mwanamke kumtaka mwanaume tu wa kiafrika ni tayari ni bilabila pakubwa sana, acha kuitwa tu kwa chakula cha siku 1, period!

Kiafrika men ni kama simba, unafeel kuwa na mwanamke uliemuona mwenyewe na ukaanza naye kutongoza hadi unaangusha bila msaada! Yani hata wa kuonyeshwa tu na ndugu au rafiki hanaga mvuto anaondoa masculinity pakubwa sana so akija mwanamke yoyote awe wa kizungu au mweusi kuita mwanaume ni kwamba keshafeli zaidi ya 99% labda beach boys
Jizungumzie wewe sio hawa waliojazana kwenye uzi wa kwenda majuu, hao lolote wanaweza kufanya ili mradi atoke kwenye shithole country
 
Dr wangeenda wanakimbia wasituchoshe......nani anapenda umasikini bwana!!!!!?¿
SEMA tu zao la wanaume wa kiafrika hasa tanzania kwa sasa ni shida tupu.
Umeona eeh, mimi nawajua hawa wala hawanipi shida, nawajua uzuri wasingeweza kuchomoa, chezeya mzungu weweeeee, VISA hii hapa🤣🤣🤣
 
Ifike mahala sasa muweke unafki pembeni na mgeuze shilingi, angekua ni Mrussia mwanamke amekukuta sijui stand ya bus, sijui supermarket au kibanda cha kubet amekuita hutaenda kumsikiliza? akakwambia wewe ni handsome sana na umevaa kitanashati hutajichekelesha chekelesha? akakwambia msindike anapoenda au jioni mkutane kwa chakula cha usiku hutatoa namba au kumfata kama zombie kasikia harufu ya damu?

Jitafakari tu mwenyewe, na mkomwe wako kama bus la Tahmeed, na kunuka kwako kibeberu bado mzungu amekusifia hutamfata wewe au kwa vile jambo limetokea kwa wanawake basi ndio makasiriiiiiko, na kwanini wanaume wa Kiafrika hasa wa Tanzania mnafurahi sana jambo baya likimkuta mwanamke? ni wivu kua somehow mnatamani kua wao ama nini?

Mnashindwa hata na kuku ikitokea jike anapatwa na shida jogoo humdefend kwa haraka sana,

Kuna michokoraa mingine humu humu inadiriki kusema "wanawake WOTE Malaya" yaan hapo amemjumuisha mama ake alomzaa kwa uchungu na bibi ake alosababisha mama ake akazaliwa na yeye bichwa box likazaliwa, laiti kama hao wazee wake wangejua kua litoto lao linawaona Malaya tu kisa wamemzaa! mama wa watu angebana miguu wakati linatoka akajipunguzia maumivu ya kuchanwa uke na mbichwa wake mkubwa na bado uzeeni amuite malaya, aibu yenu!

Kwenye dunia hii mbaya ilojaa wakina Epstein na kina Mrussia badala ya kufurahia wanawake zenu kudhalilishwa namna ile na 'mzungu' mlipaswa muungane kwa pamoja kupinga huo udhalilishaji, unyanyasaji, ukandamizaji, ubaguzi wa rangi, wote kwa sauti moja tungekemea ili watoto wetu wa kike waishi kwa usalama,

Hapo hapo tungezigeukia serikali zetu zinazoendesha nchi kidhalimu bila kujali hali za kipato kwa wananchi wao, umaskini wa kupindukia ndio unafanya wanawake na vijana kujiingiza katika mambo hatarishi,
tumeona yule dada Mghana anayeishi Newyork alivyomkataa Mrussia, kwanza sababu ana exposure pili ana pesa zake, wengine wote walidumbukia kirahisi wakiamini umaskini wao utaenda kumalizwa ama kupunguzwa kabisa.

Aibu yenu pia viongozi wa Afrika na aibu zaidi kwa serikali ya Kenya kwa kushindwa kusema neno kupitia sakata la huyo mpuuzi,

Tukirudi kwenu nyie mnaojiita wanaume lakini mmekosa kariba ya kiume, mmekua watu wa vichambo, bullying, kejeli na matusi dhidi ya wanawake zenu (hata hapa mtakuja na mkianza vichambo vyenu haraka mzitoe kende mzining'inize paleeeee, niwape madera ili mchambe vizuri)

Mrussia huyo huyo angewaita mngeenda na hotelini kwake mngefika, hayo mengine sijui sasa kama yangefanyika au mngekaza lol, ila kwenda mngeenda acheni unafki.

Nipo na popcorn zangu hapa na mwamvuli. 🍿🥤⛱️
Upo sahihi kabisa.
 
Hahaa umemaliza ,angekuwa Mzungu wa kike halafu afanye vile angejaza SGR na hata Camera yake angeweka 999 Terabytes kwa ajili ya stored za clips.
 
Umeona eeh, mimi nawajua hawa wala hawanipi shida, nawajua uzuri wasingeweza kuchomoa, chezeya mzungu weweeeee, VISA hii hapa🤣🤣🤣
Hapana chezeiya!!! Ikiwa mishangazi tunasumbuliwa kw mzungu wangemlilia kabisa!!!!
Hapa wangekuwa wanaulizana ' washkaji eeh nipeni mbinu za kumdatisha mzungu nataka anitoe bara la Giza huenda nitatoboa!!??
 
Kwa hapa wote mtajifanya mnakataa ila kuna uzi humu humu wanaume wanalilia chimbo la wazungu, wahindi na waarabu, jamani anayeweza kupata access ya ule uzi aufufue ili watu waumbuke hapa.

Kitendo cha hovyo ni cha hovyo tu, haijalishi kimefanywa na mwanaume au mwanamke, wala mzungu au mbongo.

Ni cha hovyo tu.
 
Wapo wanaume kibao wanaolelewa na wazungu.

Ni kwamba tu kuna ile dhana potofu kwamba mwanamke akiwa kicheche ni vibaya/ajabu kuliko mwanaume.

Mbali na hayo hakuna cha ajabu kwenye hii case.

Halafu punguza kufoka Dr. utaumwa presha.
 
Ungeandika Wavulana badala ya Wanaume ili isionekane kua umetujumuisha wote,

Uvulana hauondoki kwa kua na umri mkubwa bali kwa tabia za kiume,unaweza ukawa na umri mkubwa ila ukawa mvulana na unaweza kua na umri mdogo ila ukawa Mwanaume.

Being gentleman is defined by character,actions and maturity rather than age,maturity level is shown through their attitude,behavior and how they handle life,
A gentleman is marked by courtesy,honesty and responsibility not just seniority.
 
I find most of the women haters / wanaodhalilisha wanawake / hawaheshinu wanawake:

1) Hawapati wanawake: mostly kwasababu ya uchumi, wengine uchumi mzuri lakini ni masokwe waliochangamka (character mbovu) so wanawake wanakimbia so wana makasiriko.
Wanaambulia wa kununua.

2) Ni wanaume wanaolala na wanaume wenzao au wanapambana na hisia hizi.

3) PLUS innocent men waliopigwa tukio na jambazi mwanamke na hawaja recover.

Either way, JESUS SAVES.
Umeongea kweli 💯
 
Jizungumzie wewe sio hawa waliojazana kwenye uzi wa kwenda majuu, hao lolote wanaweza kufanya ili mradi atoke kwenye shithole country

To me hamna conversation tamu kama kutongoza aisee! Ni sanaa tamu sana

Na anayesumbua ndo mtamu ile mbaya, huko ninteen kweusi wakati tunasoma secondary yani unaonana na gal likizo hadi likizo, nishawahi kukesha kwenye migomba hadi asubuhi yani unaongea na binti kwa dirishani yani mzee wake mkali, binti anavizia mzee azimike ili achomoke anikute nje, na ikawa hola hadi kunakucha😛😛

Nilikula mbu wa kutosha yani siku hiyo
 
Back
Top Bottom