MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,824
- 14,757
As salaam alaykum
Aisee wanasema wazungu ni wastaarabu ila Usiombe ukutane na Mromania, Mpoland na Mfaransa kwenye moja na mbili. Wahindi na Waarabu ni special case japo tumeshawazoea.
Kuna huyu Mromania namdai zaidi ya Dola 2300$ alikaa kwenye Bnb yangu akaondoka bila kukamilisha malipo saiv hataki kunilipa inakaribia mwezi sasa kila siku ananipiga sound.
Naombeni mnisaidie namna nzuri ya kumfanya huyu mpuuzi anilipe pesa zangu na jinsi ya kumkomesha ata asiponilipa, yaani nimpe fundisho litalomfanya ajute kuja Tanzania.
Mwisho kabisa kwa watu mnaofanya biashara na wageni kuweni makini na watu wa Romania au Poland, guys kuweni makini.