MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,824
- 14,757
- Thread starter
- #21
Huyu jamaa kakaa kiwizi wizi sana, nikiangalia chattings zake apa whatsapp nashindwa kumtofautisha na matapeliKule Ulaya hao ndiyo wapiga finga ( Wezi wa migukoni) wanawaowaibia watalii, London na France wamejaa.