Kupata mwanamke mzungu ,tena akakupa kipaumbele kwenye maisha yake ni rahisi mno

Kupata mwanamke mzungu ,tena akakupa kipaumbele kwenye maisha yake ni rahisi mno

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
61,672
Reaction score
178,673
Kupata mwanamke mzungu ,tena akakupa kipaumbele kwenye maisha yake ni rahisi mno.

Tena wapo wengi mno ,ila ni wale rijecti ambao kwenye nchi zao soko lao ni finyu mno.

Yani wewe utaambulia tukunyema , manyama uzembe , na lizee lililo achika kwenye ndoa yake.


Ila vile vichunchuda vya kizungu unavyo viona kwenye movie au huko chudai utavisikia kwenye bomba gademitt.
 
1000053252.jpg

The long wait ya kumpata muzungu
 
Back
Top Bottom