Mwaka wa Mbele
JF-Expert Member
- Mar 5, 2026
- 1,013
- 3,017
Hakuna mwanamke ambaye hapendi Hela.Kumbe na wazungu wanaangalia hela? Sasa mbona yule mmatumbi alikandia wanawake wa kibongo kuwa wanapenda hela? Lol
Wote wanahitaji wahudumiwe na watimiziwe mahitaji yao. Hata kama wana hela. Bado watahitaji kuwa na wanaume ambao wana hela zaid yao.
Inaweza kutokea kwa uchache Mwanamke akawa ana kipato na akasema hahitaji mwanaume mwenye hela. Sawa hawa ni wale ambao wanatafuta peace of Mind.
Au ambao wanaona labda wakiprovide kwa mwanaume. Basi Mwanaume Atampenda na pengine atatulia kwenye penzi.
(Ni kama ananunua penzi).
Ila deep inside . Anatamani Awe na Mwanaume anaemjali, kumthamini na kumtunza.
Mm naona ni sawa Kwa Mwanamke akawa hana Hela na akawaza kuwa Mwanaume wake ndio atakomboa Jahazi.
Ila sioni sawa kwa Mwanaume akawa hana hela na kuwaza kuwa mwanamke atakomboa jahazi lake.
Kwahiyo sina shida na Wanawake kupenda hela , ila wawe na mipaka. Wawaombe Waume zao na sio kuomba kila mwanaume.