Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 4,666
- 11,789
Duh! mbn tena sio rahisi kama navyodhaniRahisi sana kuna mpaka content creators wa kukufundisha kupata wazungu.
Ila sasa akikutesa unavumilia tu mpaka upate uraia wa uzunguni.
Duh! mbn tena sio rahisi kama navyodhaniRahisi sana kuna mpaka content creators wa kukufundisha kupata wazungu.
Ila sasa akikutesa unavumilia tu mpaka upate uraia wa uzunguni.
Huyu unamjua vizuri? Mashimo yake yote kayakabidhi kwa wajuba wameyatumia wanavyotaka wao mpaka wamesema basi
Woga wako ndo hasara yako. Wenzako wanakwea midege.Duh! mbn tena sio rahisi kama navyodhani
Kama hela ipo wakipata mtu anawapenda ni gym na diet mara scarlet Johansson huyu hapaYana hela ,ila mionekano yao imewafanya wakose soko
Na kama itampatia furaha tumuombee heri.Bora awe ngozi nyingine tu🤣
Ila bwashee tuwe wa kweli.Hili lipo hata kwa wadada weusi wabongo wanaokoteza ma rijecti mno ili kupooza njaa
Kupata mwanamke mzungu ,tena akakupa kipaumbele kwenye maisha yake ni rahisi mno.
Tena wapo wengi mno ,ila ni wale rijecti ambao kwenye nchi zao soko lao ni finyu mno.
Yani wewe utaambulia tukunyema , manyama uzembe , na lizee lililo achika kwenye ndoa yake.
Ila vile vichunchuda vya kizungu unavyo viona kwenye movie au huko chudai utavisikia kwenye bomba gademitt.
Naogopa kuwa tu mfano kwa wengine😁Woga wako ndo hasara yako. Wenzako wanakwea midege.
Kumbe na wazungu wanaangalia hela? Sasa mbona yule mmatumbi alikandia wanawake wa kibongo kuwa wanapenda hela? LolCode ni ile ile.
Either uwe na hela au uwe potential na uwe bora kama Mwanaume.
😀😀😀asubuhi anaweza hata kuuliza we nani pombe zikimuisha.
Na hachelewi kupiga kelele umembaka.
Hao ndio original gold diggers,tofauti yao hawatafuti hela ndogo,kardashians, supermodels etcKumbe na wazungu wanaangalia hela? Sasa mbona yule mmatumbi alikandia wanawake wa kibongo kuwa wanapenda hela? Lol